tetee
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 789
- 866
Lakini mshanajr, mbona law of attraction nyingi zinasisitiza ku meditate, na kwamba lazima uanze kwa ku meditate ndio u visualize unachokitaka..... Pia kuna uzi mmoja wa astral projection jamaa kasema meditation ni mapepo, yeye yalimuigia alipokua huko sikumbuki nchi aloenda akayapata.Nitaendelea kwa kadiri ya maswali na uhitaji wa maelezo ya nyongeza


