Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,436
- 23,104
Ile bendera ya Israel kumbe ni ushirikina mtupu duh,Dunia kweli tambara bovu.
Ile bendera ya Israel kumbe ni ushirikina mtupu duh,Dunia kweli tambara bovu.
Ni kweli Mshana?Itakuwa post nzuri sana hii,hebu tusimulie.Yalishawahi mchenjia akalala macho huko mafia jini Rasi nyoka
Nini hii mchawi mstaafu?
Mshana Jr. hivi wewe kwa siku unakutana na Shetani mara ngapi,unatisha sana ndugu yangu.
Thread 'Kile kipindi ambacho nilipotea' Kile kipindi ambacho nilipoteaNi kweli Mshana?Itakuwa post nzuri sana hii,hebu tusimulie.
mshana rudi kwenye huu uzi nifunue kuhusu hapa hata kwa dm mkuu.View attachment 456961
Soma hiyo hapo utafunuliwa mengi...yote yafanyikayo chini ya mbingu hayatoki mbali tunayo kila siku kila saa kila dakika
Hahahahaaaa ila we jamaa!Je ni alama gani niwe nachanganya ili niwe najaza hela kwenye mabegi yangu matatu makubwa.....?
Hahahahaaaa dah! kumbe bado una kilinge chako mkuu!Muda huu kilinge kimefungwa mpaka masika yapite
Jr[emoji769]
nimecheka sanaHahahahaaaa ila we jamaa!
Hatari sana mkuu, watu wanawaza mabegi yaliyojaa mihela tu!nimecheka sana