Ufahamu uchawi wa Sigil

Ufahamu uchawi wa Sigil


Adjustments.JPG

Huu uchawi gani nime kuta hiki kikaratasi chumbani


Sent using iphone
 
Kila kitu kina pande mbili... Upande wa nuru na upande wa giza, upande wa mema na upande wa mabaya nk.
Katika kila upande kuna alama na viashiria vyake vinavyotumika kama kiwakilishi
Angalia kwa mfano nyota, ncha moja ikiangalia juu na mbili chini hutumiwa kama kiwakilishi cha nuruni, lakini ncha mbili nikiangalia juu ni alama na kiwakilishi cha giza (shetani)
Angalia pia shwastika iliyotumiwa na Hitler na ile iliyotumiwa na mabudhist au wakatoliki
Du.Hii ya nyota ngoja niishike.ndo nilichombulia hapa leo.🤣🤣
 
Nadhani nimekujibu... Nimekwambia kojolea kisha mwagia chumvi na mafutaa halafu piga kibiriti
Haha Poa mkuu , ila uja nambia kama kuna nitapata tatizo kuona ilo karatasi


Sent using iphone

Jr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom