Duu kwenye post hii haijaeleweka? Pls hebu Soma tena taratibu
Ni wapi zinahitajika?Duh, hizi Elimu za masuala ya giza hapana jamani, sidhani kama tunazihitaji
Mimi nimeenda kuisoma google Ila sijailewa vipengele kadhaa so ninahitaji unifundisheDuu kwenye post hii haijaeleweka? Pls hebu Soma tena taratibu
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
KaribuMimi nimeenda kuisoma google Ila sijailewa vipengele kadhaa so ninahitaji unifundishe
Wapi DM au hapa hapa
Basi ndio nnangoja elimu yako
Kuanzia hapa ndio sikumuelewa
Kuna tafsiri yake hapo kuwa kuna wakati hizo silabi? Usizichukulie kama silabi bali maumbo au alama......Kuanzia hapa ndio sikumuelewa
Step 4: Strike out all the vowels. Words are defined by their vowels. As long as the vowels remain in the words, it’s hard not to see them as words rather than symbols. Without the vowels, the letters can represent any number of ideas. We’re taking the sentence away from it’s role as a literal transcription, and making it one step closer to being a symbolic representation of an idea. What about “Y”? It’s up to you. If it looks or feels like a vowel, strike it. If not, keep i
Huo huo usemi ndio umeniacha njia pandaKuna tafsiri yake hapo kuwa kuna wakati hizo silabi? Usizichukulie kama silabi bali maumbo au alama......
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Kwenye sigil herufi inaweza kuwa umbo ama umbo linaweza kuwa herufi kutokana na mahali na jinsi unavyoiangaliaHuo huo usemi ndio umeniacha njia panda
Huo huo usemi ndio umeniacha njia panda
Kwenye sigil herufi inaweza kuwa umbo ama umbo linaweza kuwa herufi kutokana na mahali na jinsi unavyoiangalia
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Haya bana ngoja nikafatilie kiundani zaidi kwenye dark webDuu hebu angalia hapa kiwakilishi cha sigil kwenye kila herufiView attachment 482459
***Kuanzia hapa ndio sikumuelewa
Step 4: Strike out all the vowels. Words are defined by their vowels. As long as the vowels remain in the words, it’s hard not to see them as words rather than symbols. Without the vowels, the letters can represent any number of ideas. We’re taking the sentence away from it’s role as a literal transcription, and making it one step closer to being a symbolic representation of an idea. What about “Y”? It’s up to you. If it looks or feels like a vowel, strike it. If not, keep i
kwahiyo bi faidha wewe unataka uniambie unayajua vizuri mambo ya namna hiyo!!Hakuna "dini ya Kiarabu" ewe punguani. Dini ni ya Mwenyeezi Mungu tu unless uwe hujuwi maana ya neno "dini".
Halafu huko ulikuwa kopi na ku pesti umeshindwa kabisa kuitafsiri hiyo mada. Mengi sana humu unadanganya.
Ntarudi.