Babluu
Member
- May 25, 2020
- 78
- 103
Binafsi napenda MHESHIMIWA RAIS SSH anavyofanya hivyo Kwanza anaitangaza nchi nje ya Tanzania,siongei kisiasa naeleza kiuhalisia.Wazungu husema NO MAN IS AN ISLAND.Hatuwezi kujitenga na Dunia miaka kumi na Tano ilopita Kuna mtu alikuwa uholanzi kule hawajui hata nchi inayoitwa Tanzania.Tumpe muda Kiongozi wetu ili afanye KAZI.