Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

Makondakta kwanza maana anamtia pressure dereva wake na hiki chombo kimekosa speed governor kuna ajali mbele. Tunarudisha chombo kisiende mrama wanaJf tushirikiane kutokomeza manahodha feki
Aongoze nchi ndogo yenye watu zaidi ya 2millions kwa zero form 4 feki form 6
 
Hakuna mikakati yoyote, mimi nimezungumza kama classmate tu wa WEGESA CHARLES ambaye ninyi mnamfahamu kama JOHN HECHE, Je, jina la JOHN Heche ni la kununua CHETI au kalipataje ?
Mkuu wekaga mwaka mliomaliza tuangalie matokeo kama majibu yalitoka kwa majina na kama yalitoka kwa namba kausha.
 
WEGESA CHARLES pia anatumia cheti cha JOHN HECHE - He is My classmate & Homeboy na kama anabisha aje akanushe hapa
Who is John Heche, yuko wapi kwa sasa, anafanya shughuri gani, ndugu zake wako wapi, wanafanyashughuri gani etc. Toa majibu ya maswali hayo kabla hujahamisha mjadala.

Ila kwa sasa, habari ya mjini ni

Daud Albert Bashite wa Koromije
 
Ngoja kwanza liishe hili la RC.

Kiukweli hapa ndio penye maajabu

- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?

---------------
---------
Nasubiri kama atakuja kukanusha na kubisha nimwage hapa hapa data kamili - Wegesa Charles is my Homeboy, School & ClassMate
 
Mkuu wekaga mwaka mliomaliza tuangalie matokeo kama majibu yalitoka kwa majina na kama yalitoka kwa namba kausha.
Usiwe na haraka sana mkuu - mambo ndio kwanza yameanza
 
Our circuit is series arrangement,not parallel.

Tunashughilikia moja baada ya jingine.

Precedence ya tukio moja inatumika kusolve tukio linalofuata

Hili likipitishwa kiaina , kama dalili zinavyoonesha, tutaomba serikali isitishe mazoezi ya kuhakiki wanafunzi hewa (tulisikia kuna hata wanafunzi wa shule za msingi...!?)Wafanyakazi hewa etc
 
Inaruhusiwa kubadilisha jina kwa kuapa mahakamani. Wengi walibadili majina walipofika form 4, form six., ila hasa ilikuwa form 4. Najua umelenga kumtetea Bashite, Bashite alitumia cheti cha mtu mwingine, quite different scenarios!




Mbavu zangu mie, Hivi ukienda pale Pamba Sec ukitaka kuona matokeo ya form 4 2000, DAUDI hataonekana?
 
Nakumbuka wakati yule binti Shonza anafukuzwa Chadema hili suala la John Heche liliibuka na John mwenyewe alilitolea ufafanuzi sana tu; ngoja tumsubiri aje tena.
 
Kuchaguliwa na wananchi hakumuondolei mtu tuhuma za kutumia cheti cha mtu
si tumemkubali wenyewe, kwani wananchi tulikuwa hatujui hayo, tulimkubali tukampa kura, huyu hata mseme vipi ni sisi wananchi ndio tunaoweza mtumbua na sio mtukufu, hajateuliwa na mtukufu, huyu kachaguliwa na sisi na kwa mapenzi yetu sisi wananchi wa jimbo lake,
 
Hata mm nimeshangaa sana kuona jamaa anaitwa Heche
 
Kuna njia mbili tu za kuua mjadala huu. Kumtimua Daudi Bashite au kuongezwa mshahara maradufu. Siku ikitoka taarifa ya watumishi kuongezewa mpunga hapo ndio tutauzima mjadala huu. Lakin propaganda nyine zote hazitafua dafu.
 
Back
Top Bottom