uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,242
Weka ushahidi wa ukisemacho
kwa daudi mlileta ushahidi?
Weka ushahidi wa ukisemacho
Inaruhusiwa kubadilisha jina kwa kuapa mahakamani. Wengi walibadili majina walipofika form 4, form six., ila hasa ilikuwa form 4. Najua umelenga kumtetea Bashite, Bashite alitumia cheti cha mtu mwingine, quite different scenarios!Kiukweli hapa ndio penye maajabu
- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?
Kuna mikakati mingi sana ya kubadili upepo mbaya kwa Daudi bashite, hii mayo ni stahili mpya... Lol
kwa daudi mlileta ushahidi?
Vya daud bashite vipo wapiWeka ushahidi wa ukisemacho
Tukishamalizana na RC Bashite tuletee hili kwasababu tunaweza tukachanganya mada tukakosa jibuKiukweli hapa ndio penye maajabu
- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?
Lete vya daud bashiteLete viambata
Kiukweli hapa ndio penye maajabu
- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?
Ngoja tumalize lililopo kwanza....usihamishe goli.
Gwajima kaumwaga wote mpaka vyeti anavyo.Jumapili tunategemea na wazee kutoka kijijini.Leta na wewe wa kwako.