Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

Kuna mikakati mingi sana ya kubadili upepo mbaya kwa Daudi bashite, hii mayo ni stahili mpya... Lol
Hakuna mikakati yoyote, mimi nimezungumza kama classmate tu wa WEGESA CHARLES ambaye ninyi mnamfahamu kama JOHN HECHE, Je, jina la JOHN Heche ni la kununua CHETI au kalipataje ?
 
Tukisema tufukue makaburi kwa waliosoma miaka ya nyuma tunaweza kujipata tumeongozwa na vilaza vitupu hata Inji hii ikafika hapa ilipo.
 
Inaruhusiwa kubadilisha jina kwa kuapa mahakamani. Wengi walibadili majina walipofika form 4, form six., ila hasa ilikuwa form 4. Najua umelenga kumtetea Bashite, Bashite alitumia cheti cha mtu mwingine, quite different scenarios!
WEGESA CHARLES pia anatumia cheti cha JOHN HECHE - He is My classmate & Homeboy na kama anabisha aje akanushe hapa
 
Wala la heche halina mashiko, jamaa unatengeneza issue ya unafiki na ulumumba,mmeshikwa pabaya issue ya bashite.
 
Tungoje jumapili kwenye kanisa la ufufuo na uzima tunaambiwa kuna wageni kutoka kijiji cha KOLOMIJE watakujibu vizuri tu bila shaka.
 
Hakuna mikakati yoyote, mimi nimezungumza kama classmate tu wa WEGESA CHARLES ambaye ninyi mnamfahamu kama JOHN HECHE, Je, jina la JOHN Heche ni la kununua CHETI au kalipataje ?
Mlikuwa nae pamoja kidato gani na ilikua mwaka gani ?
 
Kuna mikakati mingi sana ya kubadili upepo mbaya kwa Daudi bashite, hii mayo ni stahili mpya... Lol
Mkiangalia vibaya mtafanya wote wenye records zisizosahihi wasamehewe maana bashite ni mteule
 
Sisi hyo hatujui... tinachojua daudi bashite mwizi wa vyeti vya Paul Christian...daudi alifeli hadi la nne..
 
kama tumeamua kudili na watu ambao wanahisiwa kufoji vyeti vyeti tusiweke double standard vinginevyo itaonekana kama tunashambulia watu kwa chuki binafsi mwacheni john hech ajibu mwenyewe badala ya kumjibia nafikiri baada ya hapo wengine wengi wataibuliwa
Uko sahihi kabisa
 
Hakuna mikakati yoyote, mimi nimezungumza kama classmate tu wa WEGESA CHARLES ambaye ninyi mnamfahamu kama JOHN HECHE, Je, jina la JOHN Heche ni la kununua CHETI au kalipataje ?
Ebu mkilimaliza la Bashite nikumbushe hili la Heche hata mimi nitakupa majibu yake, ni rahisi mno na yako straight foward.
 
Kiukweli hapa ndio penye maajabu

- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?
John aje hapa ajitete. Ni kiongozi wa umma na una haki ya kujua ukweli.
 
Mlikuwa nae pamoja kidato gani na ilikua mwaka gani ?
Nimetoa Hint tu kidogo katika kampeni hii tulioianzisha ya kudeal wasiotumia vyeti vyao - akikanusha au kubisha namwaga full data hapa hapa
 
Kiukweli hapa ndio penye maajabu

- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?
tapatalk_jpeg_1469198564194.jpg
 
Mleta Mada Huu Ulioandika Ndiyo Nini
Njoo Ukiwa Na Taarifa Kamili Kuhusu Unayemtuhumu Siyo Hiyo Ya Juu Juu

Daudi Bashite Wenzako Wamemfunua Kila Kona Mpaka Kila Mtu Kashangaa
Hata Walimu Wanaogopa Kusema Ila Elimu Imebakwa Sana
 
MBONA OLE SENDEKA KAPATA 0 LAKINI NI MKUU WA MKOA,,HEBU TUACHENI TUMALIZANE NA BASHITE KWANZA..
 
Back
Top Bottom