Mbona ghafla matamko dhidi ya Heche yamekuwa mengi?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,941
Reaction score
51,063
Naona ghafla matamko dhidi ya John Heche makamu mwenyekiti wa chama kikubwa nchini, yamekuwa mengi.

Unajua ni kwa nini? Mtambo wa propaganda wa CCM umeishiwa mbinu za kuishambulia CHADEMA.

Alipokuwa Dr. Slaa ana nguvu walisema ni chama cha wakatoliki. Mbowe naye alipowashika pabaya wakasema ni chama cha wachaga.

Sasa ile propaganda ya uchaga na ukatoliki haiwezi kufanya kazi kwa Heche. Heche ni mkurya halafu ni msabato.

Sasa njia pekee ni kuonesha kuwa hata wazee wa kimila wa Tarime hawafurahishwi na Heche. Hii nchi si tulishakubaliana mambo ya ukabila yasiingizwe kwenye siasa zetu?

Inakuwaje wazee hao wa kimila wa Tarime watoe tamko dhidi ya Heche kama vile Heche anawakilisha kabila lao kwenye mambo ya siasa!

Aliyewaambia hao wazee wa Tarime kuwa Heche yupo CHADEMA kuwakilisna kabila na koo zao ni nani?

Wanachadema hawakumchagua Heche kwa kuwa ni mtu wa kutoka kwenye kabila ama koo zao. CHADEMA walimchagua Heche afanye hicho anachofanya ambacho wao wanakipinga.

Vijana wa Tarime waelimisheni wazee wenu kuwa wao wana mamlaka na Heche kama mtoto wao lakini si kama kiongozi wa chama cha siasa.

Mbona hawajataja hayo matusi wanayodai Heche anatukana. Halafu wanaposema anatukana viongozi wa kitaifa hawaoni kuwa pia yeye ni kiongozi wa kitaifa?

Sasa wao ujasiri wa kumkemea kiongozi wa kitaifa wameutoa wapi?
 
Wametembezewa bahasha hao halafu Heche anachokifanya ni kwa mujibu wa katiba hao wazee nao ni vilaza tu kwanini wanampinga mtu uhuru wake wa kikatiba?
Ujinga umekuwa mwingi kama kuna tatizo sehemu si waende Mahakamani?
 
Ufisadi ni dhambi ya fedheha sana gentleman ndio maana kila jamii inakemea hiyo nonsense kwa matamko 🐒
 
Naona ghafla matamko dhidi ya John Heche makamu mwenyekiti wa chama kikubwa nchini, yamekuwa mengi.

Unajua ni kwa nini? Mtambo wa propaganda wa CCM umeishiwa mbinu za kuishambulia CHADEMA.

Alipokuwa Dr. Slaa ana nguvu walisema ni chama cha wakatoliki. Mbowe naye alipowashika pabaya wakasema ni chama cha wachaga.

Sasa ile propaganda ya uchaga na ukatoliki haiwezi kufanya kazi kwa Heche. Heche ni mkurya halafu ni msabato.

Sasa njia pekee ni kuonesha kuwa hata wazee wa kimila wa Tarime hawafurahishwi na Heche. Hii nchi si tulishakubaliana mambo ya ukabila yasiingizwe kwenye siasa zetu?

Inakuwaje wazee hao wa kimila wa Tarime watoe tamko dhidi ya Heche kama vile Heche anawakilisha kabila lao kwenye mambo ya kisiasa.

Aliyewaambia hao wazee wa Tarime kuwa Heche yupo CHADEMA kuwakilisna kabila na koo zao ni nani?

Wanachadema hawakumchagua Heche kwa kuwa ni mtu wa kutoka kwenye kabila ama koo zao. CHADEMA walimchagua Heche afanye hicho anachofanya ambacho wao wanakipinga.

Vijana wa Tarime waelimisheni wazee wenu kuwa wao wana mamlaka na Heche kama mtoto wao lakini si kama kiongozi wa chama cha siasa.

Mbona hawajataja hayo matusi wanayodai Heche anatukana. Halafu wanaposema anatukana viongozi wa kitaifa hawaoni kuwa pia yeye ni kiongozi wa kitaifa?

Sasa wao ujasiri wa kumkemea kiongozi wa kitaifa wameutoa wapi?
Masisiyemu yameshikwa pabaya sana
 
Heche anawajambisha.

Usikute kuna Mpumbavu aliwashauri mkimkamata Lissu mkamweka ndani basi shughuli imekwisha na mla mrojo akaupokea huo ushauri.
Kimsingi wanataka maridhiano, Hawataki yawakilishwe na Heche au Lisu, Na wanaogopa kumtoa Lisu kwa sababu ya presha inayotoka jumuia ya kimataifa, hesabu zao bado wanatafuta uhalali wa kumshikilia Lisu, inafikiriwa kuwa kumpindua Heche CHADEMA ndio njia ya kumuweka mtu atakayewakilisha mawazo yao na maridhiano.
Mahojiano ya Selasini ndio yameweka wazi mipango miovu. Na kibaya zaidi ni kwamba hawana lengo la kumuachia Lisu sasa, kumuachia kwa presha toka nje itaonekana kuwa wametii mashinikizo ya nje. Lakini uko ndani ya uongozi wa CHADEMA kuna unafiki mkubwa sana, kuna watu wanaongea midomoni lakini mioyoni mwao hawataki Lisu aachiwe toka gerezani.
Nawaasa Wazalando wa kweli na nchi hii tumuunge mkono Lisu, tuendelee kupaza sauti zetu.
 
Naona ghafla matamko dhidi ya John Heche makamu mwenyekiti wa chama kikubwa nchini, yamekuwa mengi.

Unajua ni kwa nini? Mtambo wa propaganda wa CCM umeishiwa mbinu za kuishambulia CHADEMA.

Alipokuwa Dr. Slaa ana nguvu walisema ni chama cha wakatoliki. Mbowe naye alipowashika pabaya wakasema ni chama cha wachaga.

Sasa ile propaganda ya uchaga na ukatoliki haiwezi kufanya kazi kwa Heche. Heche ni mkurya halafu ni msabato.

Sasa njia pekee ni kuonesha kuwa hata wazee wa kimila wa Tarime hawafurahishwi na Heche. Hii nchi si tulishakubaliana mambo ya ukabila yasiingizwe kwenye siasa zetu?

Inakuwaje wazee hao wa kimila wa Tarime watoe tamko dhidi ya Heche kama vile Heche anawakilisha kabila lao kwenye mambo ya kisiasa.

Aliyewaambia hao wazee wa Tarime kuwa Heche yupo CHADEMA kuwakilisna kabila na koo zao ni nani?

Wanachadema hawakumchagua Heche kwa kuwa ni mtu wa kutoka kwenye kabila ama koo zao. CHADEMA walimchagua Heche afanye hicho anachofanya ambacho wao wanakipinga.

Vijana wa Tarime waelimisheni wazee wenu kuwa wao wana mamlaka na Heche kama mtoto wao lakini si kama kiongozi wa chama cha siasa.

Mbona hawajataja hayo matusi wanayodai Heche anatukana. Halafu wanaposema anatukana viongozi wa kitaifa hawaoni kuwa pia yeye ni kiongozi wa kitaifa?

Sasa wao ujasiri wa kumkemea kiongozi wa kitaifa wameutoa wapi?
Kati ya viongozi wa cdm wanao ogopwa na ccm basi ni Heche
 
Mimi Kwa upande wangu nawashukuru Sana CCM Kwa kumpa promo ya bure Kwa ndugu yetu HECHE maana bila ya hawa wapumbavu wa CCM leohii pengine CHADEMA isingekuwa midomoni Sana kwa miezi hii miwili...
Asanteni nyie WAJINGA wa kijani Kwa promotion hii kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom