McCain
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 1,168
- 517
Naye alete wazee toka musomaGwajima kaumwaga wote mpaka vyeti anavyo.Jumapili tunategemea na wazee kutoka kijijini.Leta na wewe wa kwako.
Naye alete wazee toka musomaGwajima kaumwaga wote mpaka vyeti anavyo.Jumapili tunategemea na wazee kutoka kijijini.Leta na wewe wa kwako.
Kabla hujaenda mbali weka jina lako halisi na cheti cha kuzaliwa ili pindi john akileta ushahidi aweze kudili na wewe vizuri. Siyo vizuri kuongelea nyuma ya keyboard. Na kwa kuongezea lete uthibitishi wa unayoyasema kwa nakala ya vyetiKiukweli hapa ndio penye maajabu
- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?
I wish ningekuwa navyo... hata mm navitafuta kweli vya bashite xo ukiviona nijuze....kufoji na kutumia cheti cha mtu mwingine hai au mfu ni kosa kisheria.Lete vya daud bashite
Ushahidi wa Bashite utakuja jumapili toka kjj cha koromije Karibu ufufuo family uone kws macho yako ushahidi mwingine huo hapo juu![]()
![]()
Well SaidOur circuit is series arrangement,not parallel.
Tunashughilikia moja baada ya jingine.
Precedence ya tukio moja inatumika kusolve tukio linalofuata
Nakubaliana na utaratibu wako - ila nitautumia kama utatumika kwa watuhumiwa wote wa vyeti vya watu wengi kama WEGESA CHARLES anavyotumia CHETI CHA JOHN HECHEKabla hujaenda mbali weka jina lako halisi na cheti cha kuzaliwa ili pindi john akileta ushahidi aweze kudili na wewe vizuri. Siyo vizuri kuongelea nyuma ya keyboard. Na kwa kuongezea lete uthibitishi wa unayoyasema kwa nakala ya vyeti
Acha kutafuta kickKiukweli hapa ndio penye maajabu
- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?
Dah...Our circuit is series arrangement,not parallel.
Tunashughilikia moja baada ya jingine.
Precedence ya tukio moja inatumika kusolve tukio linalofuata
Hivi wale repeaters wa shule za msingi wanakuwa kwenye category gani kisheria?Hawajafoji vyeti, walifaulu kwa akili zao ila kwa majina yasiyo yao.Hawa tunawaweka kundi gani?Nawakumbuka sana nilikuwa nashika namba 1 darasani ilipofika la darasa la 6 wakaletwa watatu nikaanza kushika namba 4.I wish ningekuwa navyo... hata mm navitafuta kweli vya bashite xo ukiviona nijuze....kufoji na kutumia cheti cha mtu mwingine hai au mfu ni kosa kisheria.
Gwajima analeta J2.Usikose kwenda kanisani kwake.kwa daudi mlileta ushahidi?
Bashite kwanza hao wengine baadaeKiukweli hapa ndio penye maajabu
- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?