Gwajima analeta J2.Usikose kwenda kanisani kwake.
Anyways, vichwa vitauma tukichanganya mambo.
Tendelee na Bashite kwanza.
hatua ya kwanza.tumalize suala la bashiite...kama lilivyotangulia .baadae tushughulikie vyeti vingine...hatua kwa hatua,ladder by ladder !Hapo ndiyo penyewe. Vyote vijibiwe. Mh. Heche toa majibu au ufafanuzi wa hoja hiyo. Ndg mleta mada nawe leta vielelezo bayana
Unahamisha goliKiukweli hapa ndio penye maajabu
- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?
Hiyo itakuwa double standards - Tutende hakiBashite Kwanza...Heche ni Mbunge kama nae ame forge kupata ubunge tutafuata baadae! Kwanza Bashite
Kwa mwigulu wapo waliojitokeza kwa majina yao halisi,kigwangala vilevile,makonda pia yupo na unamjuaNakubaliana na utaratibu wako - ila nitautumia kama utatumika kwa watuhumiwa wote wa vyeti vya watu wengi kama WEGESA CHARLES anavyotumia CHETI CHA JOHN HECHE
Hakuna haja ya hatua wote wajibu, sumu ni sumu hata uitie sukari.hatua ya kwanza.tumalize suala la bashiite...kama lilivyotangulia .baadae tushughulikie vyeti vingine...hatua kwa hatua,ladder by ladder !
Mimi namtaka akanushe, nimwage data kamiliKwa mwigulu wapo waliojitokeza kwa majina yao halisi,kigwangala vilevile,makonda pia yupo na unamjua
I wish I could be Albert BashiteI wish ningekuwa navyo... hata mm navitafuta kweli vya bashite xo ukiviona nijuze....kufoji na kutumia cheti cha mtu mwingine hai au mfu ni kosa kisheria.
huyu kachaguliwa na wananchi, hajateuliwa na mtukufu, vitu vi2 tofauti,Kiukweli hapa ndio penye maajabu
- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?
Hilo ni kundi mojawapo la BashiteHivi wale repeaters wa shule za msingi wanakuwa kwenye category gani kisheria?Hawajafoji vyeti, walifaulu kwa akili zao ila kwa majina yasiyo yao.Hawa tunawaweka kundi gani?Nawakumbuka sana nilikuwa nashika namba 1 darasani ilipofika la darasa la 6 wakaletwa watatu nikaanza kushika namba 4.
Kiukweli hapa ndio penye maajabu
- Kwanini aitwe JOHN HECHE wakati tumesoma wote Musoma Tech. ukiitwa WEGESA CHARLES ?
Hilo ni kundi mojawapo la Bashite