Mtu na nusuJamani Chiellini my favorite defender.
Mtu na nusuJamani Chiellini my favorite defender.
Niliona tatizo dakika ya 15 tu za mwanzo kuhusu maino, unaona sasa sub yake ilivyozaa matunda? Cole pasi yake ya kwanza tu alipopata mpira ulionaje?Bado
Walipozidiwa England ni pembeni.
Mganga wa england kashafanya yakeWalio bet wana hali gani dk ya 66 the king of football anaongiza
Umebet ngoma iende matuta niniHaya 1-1 match ndo ineanza lazima penalty twende
Wanahabar wa England wako standbay yaani wakiwin tu tutasoma mengiKama kawa mganga wa england kafanya yake...aise taifa stars inabidi tumsake huyu mganga
Tayari, Jamaa Wana Kismart SanaUkisema uweke mchezaji mmoja mmoja mezani England wachezaji wake wanauwezo mkubwa,ila muunganiko hawana.
Ukiwatizama Spain yaani ule Muunganiko, Flow wa timu,England hata mipango hawana. Kwa mechibya leo sioni kama watapata yale mazali waliyo ya pata robo na nusu.