PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,864
- 23,466
Wenzetu Spain walikubali kuanza upya baada ya zama za kina iniesta kupita na kina xavi
Ona sasa wanaanza kuvuna mbegu
England inamzidi ukubwa bwana Southgate
Hili tatizo lipo hata kwa Taifa stars yetu, watanzania zaidi ya milioni 60 wanashindwa mkakati wa miaka 10 kuandaa vijana 25 wa kupeperusha bendera. Wameng'ang'ania wachezaji wa miaka 38 wanaoongopa umri na kila mtu anajua. Tumekalia ubishani wa Simba na Yanga bila kujali maslahi yetu kama Taifa. Ningekuwa na uwezo hawa mashabiki wa hizi timu mbili wangekaa mbali na benchi la ufundi la timu yetu ya Taifa