Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,549
- 62,009
Jordan Pickford yuko underrated sana
Exactly.Refa ana dalili za kispaniola.
Mwisho utaleta msemo wa simba...kwamba spain kafa kiume🤣🤣🤣🤣kufa ni kufa tuuFainal bila matuta huo ni imama. Wanaume watoane kwa penalty. Hii ni final sio mazoezi
Msiba wa tajiri tunamzika saa 10 jion. Maskini tunamzika saa 6 mchana maana hakuna chakula na vinywaji vya kutuchelewesha kuzika.Mwisho utaleta msemo wa simba...kwamba spain kafa kiume🤣🤣🤣🤣kufa ni kufa tuu
Hadi msawazishe ndio unarudi, muone.Palmer kwa niaba yetu kazuia tusianguke. Lol
Ova