UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

52'

Kyle Walker (Muingereza) anapiga mpira wa krosi kutoka upande hadi kwenye eneo la hatari ili kumtafuta mmoja wa wachezaji wenzake, lakini alishindwa na nafasi hiyo inakwenda kuomba.
 
😀 Timu Ipi Nzuri
Ukisema uweke mchezaji mmoja mmoja mezani England wachezaji wake wanauwezo mkubwa,ila muunganiko hawana.

Ukiwatizama Spain yaani ule Muunganiko, Flow wa timu,England hata mipango hawana. Kwa mechibya leo sioni kama watapata yale mazali waliyo ya pata robo na nusu.
 
Back
Top Bottom