Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,791
- 19,383
Silalewa mkuu,ila kama umefuatilia vizuri michuano hiiUmesoma vizuri.. Namaanisha katikati.. Defense ipo poa.. Kama umelewa usiniquote
Utagundua kuwa England hawana forward nzuri ,ni ni timu inajilinda sana ,huendani mbinu za kocha ndiyo maana wapo final na kombe anabeba