Bora Ww umeongea vizuri, maana huwezi kulinganisha vitu viwili ukiwa huna huelewa wa kutosha juu ya vitu hvyo.Mimi nilisoma Udsm degree ya kwanza na Masters saut Nyegezi.
Aisee St. Augustino wapo vizuri kuliko udsm. Udsm limebaki jina tu. Hovyo kabisa!
Yes, by the way kumbe kudisco ndo ishara ya chuo kuwa inafundisha vizuri kumbe?Bora Ww umeongea vizuri, maana huwezi kulinganisha vitu viwili ukiwa huna huelewa wa kutosha juu ya vitu hvyo.
Kila chuo ni kigumu ndy maana huwa kuna wanaofauru na wanashindwa.
Huwa najiuliza hivi hawa wanaojiita UDSM huwa wao wanakitu gani cha zaidi chenye ubunifu cha zaidi ambacho kimesababisha maendeleo ya science na technology kwenye nchi hii wakati ambapo hata nyembe tunatengenezewa na wachina .hapa naanza kuwa convinced na wale waliofanya utafiti na kuconlude kuwa watanzania wengi wanatumia akili zao kwa asilimia 1. Akili za kipumbavu kama hizi ni janga kwa taifa ,mtu yeyote awe amesoma UDSM au popote pale mwenyewe akili timamu awezi kukubaliana na huu upuuzi ,mimi kwangu mtu msomi ni yule anayejitambua ,mbunifu, mwenye uwezo wa kupambana na kutatua changamoto zake na za jamii inayomzunguka hivyo taifa kwa ujumla .Msitiwe vichwa na hayo makaratasi yenu mnayoita degree , majengo na ukongwe huo ni upuuzi tu nchi za watu Degree ,masters na PHD ni kitu cha kawaida sana cha muhimu is what do you deliver tu others. Hivyo huo ubabe na ukongwe tunapaswa tuuone kwenye vitendo na si hizo takataka za makaratasi yetu mnayoita degree ngadu nyie .UDSM na SAUT no differenceHizi classes ni mbaya sana na je zinamsaidiaje mtanzania wa kawaida?matabaka haya huamia mpaka maofisi na wengine kuanza kudharauliana kutokana na vyuo walivyosoma wengine wakijiona bora kuliko wenhine.
Swala la kujadili ni jinsi ya kuinua Viwango vya Elimu yetu vyuoni angalau hata kwenye vyuo vya tano bora Afrika nasi tuwepo
Uko sahihi, 2011 nilifuata mkumbo udsm sasa najuta. Lecture theatre wanafunzi 300 hadi 400 hata prof kusahihisha kazi anaishiwa nguvu.Pompompo acha kufanansha udsm na vtu vya ajabu wew... Hvyo vyuo vyenu vya din ambavyo mnaenda baada ya kuikosa ud
Sio kweli, kuwa na aibu na kama hujui acho kukoment,, 1998Udsm ninayoijua mimi au udsm ipi saut chuo cha kata kilianzishwa mwaka 2006
You are right it doesn't matter from which university you got that degree what is important is what is in your mind and how do you apply that degree in real lifeHayo ni mambo ya kitoto kutambiana, degree ni degree as long as inatoka kwenye chuo kilichosajiliwa. Bytheway what matters is the application of what one received!!!
Waambie vijana hawajui mambo yanaendaje huku maofisini wamekalia porojo tu .Wengi wenu mnasoma bado chuo na wengine isitoshe bado secondary hebu malizane na hizo degree halafu mje huku maofisini muone sisi huku hatuangalii jina la chuo .GPA wala upuuzi wowote note this in your mind we consider competenceUDSM jina tu "I have living testimonies to defend my statement" nimebahatika ku interact na some of them at my work place nakwambia ni sheeda....! Boss wangu anapenda kuwaita "empty vessels" sasa jiulize kwa nn,,,,?
Ud mapenz tu....SAUT hakuna kama chenyew....Udsm ninayoijua mimi au udsm ipi saut chuo cha kata kilianzishwa mwaka 2006
We really need changes ,otherwise we still have a long way to go in our education system and competence of graduates produced in this countryWahadhili wa udsm wamebaki Kufundisha siasa tuu na kuwapa madesa wanafunzi wao.. Wanakaririsha tuu wanafunzi aisee.. Hamna kitu tunao Huku Mtaani Kuna mmoja Juzi Kat tumeenda kufanya interview kiingereza ni mtupu kabisa afu mwalimu wa language.
Matokeo ya form six yakishatoka cream inaenda Udsm , makapi Ndiyo yataenda vyuo vilivyobaki



afu hayo makapi ndo yanayokuja hapa kukiponda chuo kikuu cha taifa baada ya kukosahahahah,mkuu hat kuandika lecturer unashndwa kwel? afu huyo mdogo wako,sina hakika kam kwel atakuw normal.kwan darasan lecturer kufundisha anatumia nin? na anafundisha kwa muda gan au chuo ni kama advance? embu ficha ujinga wako wa kusema umesoma masters.embu kuwa serious kidogo afu jenga hoja zinaeleweka bhan,acha kupoteza muda.Nina wadogo zangu udsm na udom pia. Wa udsm anadai bora angenda diploma.
Lecture wanafunzi 400 utamsikilizaje lectures? Huyo lectures atawezaje kukusaidia usipoelewa? Huyo lectures atasahihishaje mitihani na continous assessment?
Kama kuanzia pre school, primary, sekondary private ndo wanaongoza iweje leo useme vyuo vya umma viko juu na vya binafsi viko chini?
I am confronting you with evidence.
hizo takwimu labda za TWAWEZA,udsm ilishuka sana'The University of Dar es Salaam is the University' by Prof Haroub Othman (R.I.P)
Udsm ni ya 7 kwa ubora Africa kwa 2015.