UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

Hajui asemalo na hii ni evidence kua kwa miaka yote aliyosoma hata basic analysis hajui.SAUT haiko level za UDSM, Labda comparison iwe saut vs Tumaini..ila una consider variables zipi ku analyse??

Nadhani hiyo msg yake ni ya hadhira ya facebook and waas not meant for critical thinkers.
 
hahahah,mkuu hat kuandika lecturer unashndwa kwel? afu huyo mdogo wako,sina hakika kam kwel atakuw normal.kwan darasan lecturer kufundisha anatumia nin? na anafundisha kwa muda gan au chuo ni kama advance? embu ficha ujinga wako wa kusema umesoma masters.embu kuwa serious kidogo afu jenga hoja zinaeleweka bhan,acha kupoteza muda.
Sorry hiyo ni typing error. Nimemuuliza mdogo wangu kasema yeye yuko normal, e.g. kasema wakati mwingine power point na maspika hutumika. umeme ukikatika basi anazungumza hivyox2 atakayeweza kumsikia sawa. Kusahihisha ni issue pia. Eg. Continous assessment 1,500 wordsx300students= 450, 000 words ataweza kukagua kila kitu?
 
hizo takwimu labda za TWAWEZA,udsm ilishuka sana
Ingia google: THE BEST UNIVERSITIES IN AFRICA 2015. Sijaweza kuunganisha na hiyo source.

Huko kushuka sana hadi ikawa ya 7 kumbe ilikuwa juu sana.
Ktk top 10 kwa vyuo vya Africa, SAUT sijakiona.
 
Ingia google: THE BEST UNIVERSITIES IN AFRICA 2015. Sijaweza kuunganisha na hiyo source.

Huko kushuka sana hadi ikawa ya 7 kumbe ilikuwa juu sana.
Ktk top 10 kwa vyuo vya Africa, SAUT sijakiona.
udsm iko out of 10 kitambo sana labda kama TWAWEZA wamepika data
 
udsm iko out of 10 kitambo sana labda kama TWAWEZA wamepika data
Pole mkuu na TWAWEZA sijui ilikukosea nini.
Ubora wa chuo hutegemea mtu anazingatia nini.
Kwa taaluma, UDSM is the best kwa TZ (kulingana na world wide ranking)
Shida ni kwamba, wale wanaopenda kutafuniwa hupaona udsm pako hovyo.
Lecturers pale wanakupa skeleton tu, tena imechoka sana. Katafute mambo mengine mwenyewe.

Nakumbuka nikiwa first year, nilihudhuria lectures kwa mwezi na wk 2, sina cha maana ninachoandika. Nikajipa moyo kwamba hawaanza kufundisha. Mara tunatangaziwa test. Ikabidi nianze kuhaha kutafuta madesa na uyeboyebo wangu.
Mwendo ulikuwa huo huo hadi tunamaliza. Ttuliojituma tulitoka na kitu, waliozembea, wakavuna chao.

Hata hivyo ningeshangaa kama watu wataacha kuvisifia vyuo walivyosoma na kuvisifia vingine.
Wakati mwingine hufanya hivyo kwa sababu ndoto za kuingia kwenye hivyo vyuo (wanavyoviponda) hazikutimia. Ni kama mtu alitoswa na mwanamke halafu anaanza kumsema vibaya.
Tuuneshe ubora wa vyuo vyetu ktk jamii zetu kupitia taaluma zetu.

Kuna watu wanadai wamefanya kazi na graduates from udsm kuwa ni weupe, lkn wanasahau kuwa kuna baadhi ya graduates wa vyuo vingine pia ni majanga.

Maisha yako ya kiuanafunzi chuoni hueweza kuamua aina ya mtaalamu atakayepatikana.

NB: TWAWEZA hawajawahi kufanya ranking ya vyuo vya elimu ya juu Africa.
 
Sorry hiyo ni typing error. Nimemuuliza mdogo wangu kasema yeye yuko normal, e.g. kasema wakati mwingine power point na maspika hutumika. umeme ukikatika basi anazungumza hivyox2 atakayeweza kumsikia sawa. Kusahihisha ni issue pia. Eg. Continous assessment 1,500 wordsx300students= 450, 000 words ataweza kukagua kila kitu?
mkuu lakin,wanafunzi wake wapo makin kufuatilia lectures na ni competent idadi ya wanafunz kwel ni kubwa lakin ukingia kiundani kuna course ambazo wanasoma wanafunzi wte na zngne watu w course husika,pia kuna changamot ya joto katka venues hakuna ac wala mapanga boi,kwel n shida sana kwa mazngira yale but nina uhakika ndio hayo mazingira yanafanya vijana wanasurvive na kutoka na degree iliyoiva au kupikwa vizur.ukicompare na vyuo vyote ambvo havifanani na iko chuo kimazngra,pamoja na wakufunzi wake weng ni makini.
 
Laiti mngejua tunayokutana nayo maofisini,msingeleta hizi habari za graduates kutoka UDSM......anyway,nadhani UDSM inakuwa juu kwenye rank kwa kubebwa na wingi wa "maprofesa" waliopo pale kwani nacho huwa ni kigezo.
unaweza kuwa serious kweli mkuu?
 
Hiyo SAUT vikiwekwa vigezo vya ubora wa chuo kikuu hakiwezi kuifikia OUT ....OUT wana faculties nyingi zenye PHDs na maprofesa wa kutosha ....labda SAUT ilinganishwe na Tumaini ....kuna vyuo vingine vinaitwa vyuo vikuu ila ni aibu ...chuo kina Facult mbili za kuungaunga ....vingine hata PHD hakuna hadi mkuu wa chuo hana PHD ....tuboreshe elimu zetu tuache kupeana moyo ...
 
mkuu lakin,wanafunzi wake wapo makin kufuatilia lectures na ni competent idadi ya wanafunz kwel ni kubwa lakin ukingia kiundani kuna course ambazo wanasoma wanafunzi wte na zngne watu w course husika,pia kuna changamot ya joto katka venues hakuna ac wala mapanga boi,kwel n shida sana kwa mazngira yale but nina uhakika ndio hayo mazingira yanafanya vijana wanasurvive na kutoka na degree iliyoiva au kupikwa vizur.ukicompare na vyuo vyote ambvo havifanani na iko chuo kimazngra,pamoja na wakufunzi wake weng ni makini.
Sorry sijakuelewa. Kwa hiyo kinachofanya udsm kuwa bora zaidi kuliko vyuo vingine ni nini haswa? Joto la Dar? Kukosekana kwa ac/mapangaboi? Kudahili wanafunzi wenye akili sana? Au ukubwa wa jengo? Au lecturers kuwa na akili sana?
Samahani ukiweza kunifafanulia nitashukuru
 
SAUT? Chuo cha kata hicho..watu kuscore coursework za 40 ni kawaida kabsa. Sasa nenda udsm kama hujadisco.
Ni kawaida kila MTU kusifia chuo chake.Halafu huyo mdada kwanini kaweka UDSM kama Reference kwanini asingesema StJohns au Muslim University?
Degree degree tu finali mtaani.
 
Ok!
This website uses cookies to ensure you get the best experience on our website More info


University Web Rankings & Reviews
> Africa > Tanzania > Top Universities
List of top Colleges and Universities in Tanzania by University Web Ranking.

Top Universities in Tanzania
by 2016 University Web Ranking
Share
help.gif



Searching all Tanzanian University websites


Rank
University
Location

1 University of Dar es Salaam
Dar es Salaam ...
2 Sokoine University of Agriculture
Morogoro ...
3 Mzumbe University
Morogoro
4 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
Dar es salaam
5 The University of Dodoma
Dodoma
6 Tumaini University Makumira
Arusha
7 St. Augustine University of Tanzania
Mwanza ...
8 The Hubert Kairuki Memorial University
Dar es Salaam
9 Mount Meru University
Arusha
10 Nelson Mandela African Institution of Science and Technology
Arusha
11 The State University of Zanzibar
Zanzibar City ...
12 Ardhi University
Dar es Salaam
13 St. John's University of Tanzania
Dodoma ...
14 International Medical and Technological University
Dar es Salaam
15 Mbeya University of Science and Technology
Mbeya
16 Catholic University of Health and Allied Sciences
Bugando
17 Zanzibar University
Zanzibar City
18 The University of Arusha
Arusha
19 St. Joseph University in Tanzania
Mbezi Luguruni
20 Teofilo Kisanji University
Mbeya
21 Sebastian Kolowa Memorial University
Lushoto
22 Muslim University of Morogoro
Morogoro
23 University of Bagamoyo
Dar es Salaam
24 United African University of Tanzania
Dar-es-Salaam
25 Eckernforde Tanga University
Tanga





4 International Colleges & Universities
About us | Privacy | Contact us
Copyright 2005 - 2016
 
FootballDatabase
Home Club World Ranking Africa

Africa Football / Soccer Clubs Ranking
Updated after matches played on 18 December 2016

Rank
Club / Country Points 1-yr change
301
Hasaacas
Ghana 1258 40
1253
302
Williamsville Athletic Club
Ivory Coast 1258 61
1250
303
J.S. Groupe Bazano
Denmark 1258 17
1255
304
Aswan FC
Egypt 1258 451
1300
305
RC Kinshasa
Congo DR 1257 18
1257

306
AS Bamako
Mali 1257 150
1271
307
Liga Muçulmana
Mozambique 1257 19
1257
308
Al-Hilal Kaduqli
Sudan 1257 187
1248
309
Ocean Pacifique
Denmark 1256 47
1250
310
Amidaus Professionals FC
Ghana 1255 20
1255
311
Gaborone United
Botswana 1255 18
1255
312
Al Ahli Tripoli
Libya 1255 42
1250
313
Ittihad Zemouri de Khemisset
Morocco 1255 28
1256
314
El Mansura
Egypt 1254 18
1254
315
Crown FC
Nigeria 1254 19
1254
316
Douala AC
Cameroon 1254 18
1254
317
Nkoyi Bilombe
Denmark 1254 30
1250
318
Sahel
Niger 1254 18
1254
319
Likasi
Congo DR 1254 19
1254
320
Nkwazi
Zambia 1253 218
1244
321
Canon Buromeca
Congo DR 1253 19
1253
322
Black Rhinos
Zimbabwe 1253 15
1253
323
Scorpion FC de Bé
Cameroon 1253 15
1253
324
El Minya
Egypt 1253 15
1253
325
Merreikh Nyala
Sudan 1253 13
1250
326
Al Ahli Khartoum
Sudan 1252 191
1270
327
Muungano
Congo DR 1252 173
1246
328
USGN
Niger 1252 14
1252
329
Zimbabwe Saints
Zimbabwe 1252 17
1252
330
Young Africans
Tanzania 1252 2
1250
331
Cosmos de Bafia
Cameroon 1252 967
1360
332
Ibanda Sport
Congo DR 1251 19
1251
333
AS Police
Mali 1251 149
1247
334
Mighty Jets
Ghana 1251 22
1251
335
Al-Amal
Sudan 1251 219
1270
336
Dauphins Noirs
Congo DR 1251 198
1243
337
Kabasha
Congo DR 1251 26
1251
338
Kaloum Star
Guinea 1250 22
1250
339
LLB Académic
Burundi 1250 26
1250
340
Olympic Club
Congo DR 1250 25
1250
341
El-Ahli Atbara
Sudan 1250 184
1265
342
Highway
Zimbabwe 1250 80
1250
343
Al Nasr FC
Egypt 1250 156
1262
344
Nord Sport
Denmark 1250 28
1250
345
San Pedro
Ivory Coast 1250 47
1250
346
Aïn Fakroun
Algeria 1250 79
1250
347
Nembe City FC
Nigeria 1250 78
1250
348
Sabé
Ivory Coast 1250 78
1250
349
Diables Noirs
Congo 1250 78
1250
350
CA Bordj Bou Arreridj
Algeria 1249 76
1249
Search
Confederations
Countries

Comments
On this day...
In 1909, Oldrich Nejedly is born in Czechoslovakia. The striker was top scorer at the 1934 FIFA World Cup finals in Italy where they lost 2-1 to the hosts.

Share this page
747
Follow Us
Facebook Google Follow
The #1 Football / Soccer World Club Ranking Site on the Internet.
(CC BY-SA 4.0) FootballDatabase.com
 
toba..!!!!!!

halaf utakuta amemaliza SAUT Stella Maris ya Mtwara au Mihayo ya Tabora anataka ajilinganishe na COET.....
 
wew mwenyewe umesoma masters SAUT baada ya kukosa GPA ya kutosha kuwa enrolled UDSM
Nina gpa ya 3.8, nilisoma saut kwa kupenda mazingira. udsm wahadhiri wapo busy na miradi yao. Saut wapo busy na wanafunzi. Usidharau saut kuna wahadhiri waliobobea. Hata Prof Mwasigwa B unamdharau? Na Prof Mlambiti je? Na madaktari kibao kutoka nchi zilizoendelea, waliowafundisha walimu wa udsm waliosoma nje.
 
Back
Top Bottom