These are isolated cases with an intention and a cause! May be it was Acha amalize aondoke. Lakini mwalimu aliyemfundisha huyo unayemsema??????? wa Kiingereza alikuwa the best student. Buchweishaija was a very good students, with high intelect. Alibakizwa UDSM kufundisha kwa utaratibu ule wa zamani wa GPA 4.5 and above unabaki kufundisha. It was very rare in the Faculty of Science especially Chemistry, physics, MathsUdsm si ndyo inatoa phd ya vilaazaaaa wasiojua kuongea kingeleza
Udsm si ndyo inatoa phd ya vilaazaaaa wasiojua kuongea kingeleza
Mimi nimesoma saut (undergraduate) na udsm (masters). Jaman usdm kukaa na pdof akakupa maujuzi kawaida sana ila pale udsm alikuwepo prof mmoja those days na alikuwa hata akija class ujue kapotea njia hasa undergraduate. Sijui huko masters wanaingia akina nani ndo sijui. wacha tuendelee na hawa maprof wazee hapa udsm ni relactant hao sijawahi ona ila knowledge unaiona kwao na wewe unaona unapata kituNi kweli, udsm chuo cha kitoto. Mimi nimesoma saut (masters) na udsm (undergraduate). Saut wako serious acha kabisa!
Kina faru john wamesoma hapo na wako empty setMi huwa naiita vyuo vingine alternative universities.
Huwezi kuta mtoto wa advance ana kazana kusoma eti ili afanikiwe kusoma SAUT. Hii huwa ina kuja baada ya hali halisi ya matokeo tuu
UD sio tija. Upstairs ndo kila kitu uwe umesoma ud, ifm au sautKina faru john wamesoma hapo na wako empty set![]()
![]()
![]()
![]()
UD sio tija. Upstairs ndo kila kitu uwe umesoma ud, ifm au saut
Umenena vyema, gud point, umesoma wap ww?Mbona wewe umebadilisha alichosema? Kwenye instagram naona degree moja ya Saut ni kama degree tano za UDSM na wala sio degree moja ni sawa na tatu za UDSM kama ulivyoandika wewe. Kwa nini umepunguza hizo mbili? Halafu hayo ni maneno ya mpongezaji wala sio huyo dada graduate.
Hivi hakuna tofauti ya neno 'kama' na 'sawa'?
Lugha kama hizi wakati mwingine uchangiwa na inferiority complex.
Ili mjadala huu uende vizuri ni vyema kufahamu sababu ya kusema hivyo halafu tufahamu pia kipimo cha ubora wa degree.
UDSM jina tu "I have living testimonies to defend my statement" nimebahatika ku interact na some of them at my work place nakwambia ni sheeda....! Boss wangu anapenda kuwaita "empty vessels" sasa jiulize kwa nn,,,,?Mbona wewe umebadilisha alichosema? Kwenye instagram naona degree moja ya Saut ni kama degree tano za UDSM na wala sio degree moja ni sawa na tatu za UDSM kama ulivyoandika wewe. Kwa nini umepunguza hizo mbili? Halafu hayo ni maneno ya mpongezaji wala sio huyo dada graduate.
Hivi hakuna tofauti ya neno 'kama' na 'sawa'?
Lugha kama hizi wakati mwingine uchangiwa na inferiority complex.
Ili mjadala huu uende vizuri ni vyema kufahamu sababu ya kusema hivyo halafu tufahamu pia kipimo cha ubora wa degree.
Kuanzishwa 2006 sio hoja.Udsm ninayoijua mimi au udsm ipi saut chuo cha kata kilianzishwa mwaka 2006
bado sina hakika,Wallahi udsm ni majengo tu! Kazi kula desa afadhali hata udom ingawa sijasoma huko
endelea kudoubt, siku utakapoamka na kukuta CV Yako ipo mezani kwangu, ndio utapata majibu ya kutofautisha kati ya UDSM na saut
Umenena vyema, gud point, umesoma wap ww?
mtu na masters yako,kweli unatoa comment kam hyo? hyo masters uliyochkua ni ya kusomea ujinga.sasa unasema afadhali hata UDOM ingawa hujasoma huko,kweli ndo umefundishwa kuongelea kitu bila kufaham kiko vp?Wallahi udsm ni majengo tu! Kazi kula desa afadhali hata udom ingawa sijasoma huko
hahahahahahaaaaaaaaKina faru john wamesoma hapo na wako empty set![]()
![]()
![]()
![]()
UD sio tija. Upstairs ndo kila kitu uwe umesoma ud, ifm au saut
sio wew ndo umuulize boss wako kwanin?UDSM jina tu "I have living testimonies to defend my statement" nimebahatika ku interact na some of them at my work place nakwambia ni sheeda....! Boss wangu anapenda kuwaita "empty vessels" sasa jiulize kwa nn,,,,?