UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

Inamaanisha degree za Temperature jamani msimuelew vibaya,si unajua mjini huku kuna joto sana
 
Baada ya kuongea yote hayo mrudi ku-darasa mkapige msuli halafu mtakutana mtaani huko ndo mtajua chuo kipi ni kipi na nani ni nani.
 
Mim nadhan ubora wa Chuo unapimwa na namna ambavyo graduates wake wanaweza kuitumia elimu waliyoipata hapo ku-manage mazingira yao na kuleta maendeleo katika jamii zao na si kwa idadi ya course au ugumu wa kupata GPA kubwa. To me UDSM is the best (though sijasoma hapo) kwa maana ya articles na research walizoandika as compared to SAUT
 
aiseeee noma sana....lakini ukweli ni kwamba UDSM ni bora zaidi ya SAUT
 
Ugumu Wa chuo na upatikanaji Wa degree xehemu husika anajua muhusika kila xehemu kuna mateso yake ujue
 
Kwa Ugumu wa shule,SAUT degree yao ni msala balaa!!!but ukitaka wanaojidai wajuaj huku kichwan empty UDSM wako vzur!!!@masharobaro with empty head!!!
 
aiseeee noma sana....lakini ukweli ni kwamba UDSM ni bora zaidi ya SAUT
Waingereza husema "the devil is in the details". Waswahili husema "kila king'aracho si dhahabu". Hapo pekundu ndo tunaita stori za mtaani na swaga za vijana. Kila chuo kina mazuri yake na mabaya yake kutegemea na malengo ya mtu. Jiulize kwa mfano ukitaka kusomea MD utakwenda wapi UDSM au CUHAS? Journalism? etc. Zakuambiwa changanya na zako-alisema mwenyekiti mmoja wa li chama lile. Kuna mambo UDSM wakopoa zaidi na mengine SAUT wako poa zaidi lakini above all kichwa cha mwanafunzi ndonyenzo kubwa.
 
Udsm kumi bora huwa unaingia katika vyuo bora Africa... SAUT ishahwawi kuwa hata ya 20!?
Kwa wenzenu majuu hutoa pia ligi ya course kwa course na hiyo ndo huwaongoza wanafunzi kuchagua waende wapi. Hata Havard siyo bora kwa kila kitu na kila ufaulu.
 
Waingereza husema "the devil is in the details". Waswahili husema "kila king'aracho si dhahabu". Hapo pekundu ndo tunaita stori za mtaani na swaga za vijana. Kila chuo kina mazuri yake na mabaya yake kutegemea na malengo ya mtu. Jiulize kwa mfano ukitaka kusomea MD utakwenda wapi UDSM au CUHAS? Journalism? etc. Zakuambiwa changanya na zako-alisema mwenyekiti mmoja wa li chama lile. Kuna mambo UDSM wakopoa zaidi na mengine SAUT wako poa zaidi lakini above all kichwa cha mwanafunzi ndonyenzo kubwa.
Sawa
 
Unapozungumza toa na evidence ya maswala hayo aliyechukua degree udsm mnafikiri ndo amechukulia mbinguni au peponi
Natoa uthibitisho kama nilivyoona mimi mwaka 2014 kuna profesa wa dsm alikuwa anabeza degree za vyuo vingine na kusifia udsm
Hao walikuwa masters cha ajabu kuna mtu wa saut ndo anakimbiza hakun udsm tena
Jamaa kaaibika mwenyewe maneno kwisha kwahyo usijeongea kisa umekariri maisha
 
Back
Top Bottom