UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
Hizi mbwembwe tu na anajipa matumaini, achana nae huyo, kingine ww jamaa unatafutwa na polisi maana haiwezekani ujitangaze "unakodisha bunduki" ww utakuwa unawajua wahalifu wote aisee, sema mara moja upo wapi polisi waje wakukamate
 
Mimi nimesoma saut (undergraduate) na udsm (masters). Jaman usdm kukaa na pdof akakupa maujuzi kawaida sana ila pale udsm alikuwepo prof mmoja those days na alikuwa hata akija class ujue kapotea njia hasa undergraduate. Sijui huko masters wanaingia akina nani ndo sijui. wacha tuendelee na hawa maprof wazee hapa udsm ni relactant hao sijawahi ona ila knowledge unaiona kwao na wewe unaona unapata kitu
Kwa uandishi huu hyo masters uliipataje????
 
UDSM chuo ambacho mnakiona bora takwimu za mwaka huu hakikuepo ata kwenye top 20 Afrika sasa kina ubora gani?
 
BORA, hakuna asyejua ila UBORA NA UWEZO KTK TAFITI PAMOJA NA KI2
SI CHA MAPROFESSOR.
Rais Mao Tsetung alisema no research no right to speak!!!
Kwa hiyo kwa maana nyingine alimaanisha with proved research we can dare open our mouths!!!
Anayetaka kuzungumza afunue nyaraka alizopata hapo poa, siyo kwamba kuwa Mimi nimesoma UDSM au SAUT pamoja na porojo za baadhi za wahadhiri waliotifundisha basi tunazungumza kama mpambe anavyolia kumshinda mfiwa.
Let's be real guys.
 
Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583

Kwa kuacha UTANI au UNAFIKI naomba nijibu KIUTAALAM kabisa. Kwanza nikiri kuwa Mimi ni zao halisi la SAUT ila kusema ukweli Chuo Kikuu cha SAUT ni kizuri hasa kwa Fani ya MASS COMMUNICATION / JOURNALISM hasa ikizingatiwa kuwa hata kilipoanzishwa enzi hizo kikiwa ni NSTI ( Nyegezi Social Training Institute ) na mwaka 1998 kuwa sasa SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA kilikuwa ni maarufu, hodari na mahiri kwa kuwapika Waandishi wa Habari wa Tanzania na hata wa nchi jirani na mpaka leo kimebaki na ubora huo.

Hata hivyo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam bado kitabaki kuwa ni Chuo Kikuu bora hasa kutokana na ukongwe wake, fani zake zilizopo, aina ya Wahadhiri wabobezi waliopo na pia jinsi kilivyojipambanua duniani na ndiyo maana kila mara vinapotajwa Vyuo Vikuu bora UDSM huwezi kukikosa kwani kina Sifa yake iliyotukuka ambayo sidhani kama SAUT itaipuku.

Ila ninachoweza tu kusema ni kwamba kwa siku za karibuni Chuo cha SAUT kimeanza kufanya vizuri Kitaaluma kwa gharama ya kulega lega Kiutawala na Kiuetendaji kwa Chuo cha UDSM kwani ni ukweli usiopingika kuwa Wahadhiri wa UDSM wanakumbana na changamoto nyingi ambao kimsingi zimeweza kuathiri hata ufundishaji wao kitu amcho Chuo cha SAUT kikaona ki Capitalize hapo kwa kuanzisha Kozi ambazo zipo UDSM na kuziimarisha zaidi na kuweka ubunifu mkubwa na kiukweli wamefanikiwa kwa kiasi fulani hadi Watu wengi sasa wanapenda kwenda kusoma hapo japo bado wana safari ndefu mno kuyafikia mafanikio ya Chuo cha UDSM.

Kutaka kukifananisha Chuo Kikuu cha UDSM na Chuo Kikuu cha SAUT ni sawa sawa unataka kuwafananisha Diego Maradona ( UDSM ) na Lionel Messi ( SAUT ). Japo ni Mwana SAUT ila nakiheshimu sana UDSM na wamepiga hatua kubwa kimafanikio na kimaendeleo Kitaaluma na nadhani SAUT wana mengi ya kujifunza kutoka UDSM na hili HALIPINGIKI.

Yangu ni hayo tu Wadau ngoja niwaachie na wengine nao watiririke zaidi.
 
Mimi nimesoma saut (undergraduate) na udsm (masters). Jaman usdm kukaa na pdof akakupa maujuzi kawaida sana ila pale udsm alikuwepo prof mmoja those days na alikuwa hata akija class ujue kapotea njia hasa undergraduate. Sijui huko masters wanaingia akina nani ndo sijui. wacha tuendelee na hawa maprof wazee hapa udsm ni relactant hao sijawahi ona ila knowledge unaiona kwao na wewe unaona unapata kitu
Boss, what the hell,,,,,? are u really "a holder of masters" how dare u write this shit,,,,,? Now i understand why UDSM is being underestimated. B'coz of products like u.
 
Hapa tunasifia vyuo kutokana na kwamba tumesomea ktk vyuo hivyo, km unataka ukweli bhasi jifanye ndo uko nje ya nchi halafu unataka kusoma Tanzania then ingia internet uliza utaletewa researched data na utajua which one is the best university in Tanzania.
 
Wahadhili wa udsm wamebaki Kufundisha siasa tuu na kuwapa madesa wanafunzi wao.. Wanakaririsha tuu wanafunzi aisee.. Hamna kitu tunao Huku Mtaani Kuna mmoja Juzi Kat tumeenda kufanya interview kiingereza ni mtupu kabisa afu mwalimu wa language.
Waache tuu their graduants will feed on politics.
 
Ukitaka kulinganisha
1. points ngapi cut off ya wanafunzi Kati ya UDSM na SAUT jibu mnalo
2. SAUT ina profs Wangapi ?
3. je hats Duniani Academic rank kati ya vyuo hivyo inaoneshaje?
SAUT long way to go
 
UDSM chuo ambacho mnakiona bora takwimu za mwaka huu hakikuepo ata kwenye top 20 Afrika sasa kina ubora gani?
Kila mwak kuna,vyuo vnapanda na kushuka katika ranks z ubora,so kwa UDSM imetegemea though sio kw kiwango cha kawaid.
 
Laiti mngejua tunayokutana nayo maofisini,msingeleta hizi habari za graduates kutoka UDSM......anyway,nadhani UDSM inakuwa juu kwenye rank kwa kubebwa na wingi wa "maprofesa" waliopo pale kwani nacho huwa ni kigezo.
 
Back
Top Bottom