UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

University ni moja tu! UDSM, MUHAS. BASI VINGINE NI KUJIKONGOJA FADHILA ZA UDHAIFU WA AWAMU YA NNE.
In a strict state with integrity, the rest of the so called Universities will not be in existence
Kwa hiyo SUA nayo inajikongoja na inaishi kwa fadhila ya awamu ya nne. SAUT tumekuwa nayo toka lini? 1998 kama sikosei kwako hiyo yote ni awamu ya nne.
 
UDSM chuo ambacho mnakiona bora takwimu za mwaka huu hakikuepo ata kwenye top 20 Afrika sasa kina ubora gani?
Na saut ipo kwenye hiyo top 20 ? Kwa trend siku zote Udsm huwa inaongoza hata tz kwa list ya vyuo bora afrika
 
Kwa hiyo SUA nayo inajikongoja na inaishi kwa fadhila ya awamu ya nne. SAUT tumekuwa nayo toka lini? 1998 kama sikosei kwako hiyo yote ni awamu ya nne.
NO, A BIG NO, SUA IS OK. Ingawa wameanza kuenroll vilaza wengi! Wanaiharibu. SAUT Mwanzoni ilikuwa makini katika udahili, with awamu ya nne, kikawa ndio chuo chenye "millions"!!!!!!????? of students in Tanzania. Walimu waliwapata wapi? ---substandard teachers.....
 
mtu na masters yako,kweli unatoa comment kam hyo? hyo masters uliyochkua ni ya kusomea ujinga.sasa unasema afadhali hata UDOM ingawa hujasoma huko,kweli ndo umefundishwa kuongelea kitu bila kufaham kiko vp?
Nina wadogo zangu udsm na udom pia. Wa udsm anadai bora angenda diploma.
Lecture wanafunzi 400 utamsikilizaje lectures? Huyo lectures atawezaje kukusaidia usipoelewa? Huyo lectures atasahihishaje mitihani na continous assessment?
Kama kuanzia pre school, primary, sekondary private ndo wanaongoza iweje leo useme vyuo vya umma viko juu na vya binafsi viko chini?
I am confronting you with evidence.
 
Hizi classes ni mbaya sana na je zinamsaidiaje mtanzania wa kawaida?matabaka haya huamia mpaka maofisi na wengine kuanza kudharauliana kutokana na vyuo walivyosoma wengine wakijiona bora kuliko wenhine.

Swala la kujadili ni jinsi ya kuinua Viwango vya Elimu yetu vyuoni angalau hata kwenye vyuo vya tano bora Afrika nasi tuwepo
Hilo ni kwel kabisa lakin pia hakuna asiyejua udsm na Saut kip chuo bora, hata mama muuza samak mtaan hilo analijua.
 
Nina wadogo zangu udsm na udom pia. Wa udsm anadai bora angenda diploma.
Lecture wanafunzi 400 utamsikilizaje lectures? Huyo lectures atawezaje kukusaidia usipoelewa? Huyo lectures atasahihishaje mitihani na continous assessment?
Kama kuanzia pre school, primary, sekondary private ndo wanaongoza iweje leo useme vyuo vya umma viko juu na vya binafsi viko chini?
I am confronting you with evidence.
Udsm ni chuo bora tz nzima huwezi compare na saut iliyoanzishwa 2000s
 
University ni moja tu! UDSM, MUHAS. BASI VINGINE NI KUJIKONGOJA FADHILA ZA UDHAIFU WA AWAMU YA NNE.
In a strict state with integrity, the rest of the so called Universities will not be in existence
VP kuhusu SUA mkuu nacho kinajikongoja?
 
Udsm ni chuo bora tz nzima huwezi compare na saut iliyoanzishwa 2000s
Kwa umri saut atamwita udsm babu. Lakini kwa ubora wa taaluma nitakuwa wa mwisho kuamini anayefundishwa kwenye darasa la watu 400 atakuwa bora kuliko anayefundishwa kwenye darasa la watu 25. Unamaanisha nini labda? Avoid sweeping generalization! Njoo na fact mtoto wa kiume
 
Hata hujui SAUT ilianzishwa lini? Hii inaharibia hayo mengine uliyoyaandika.
Umsamehe bure. Namfananisha na enzi za mwanafunzi wa MD muhimbili kujiona kichwa sana kuliko KCMC na BMC mbona siku hizi siwasikii tena?
 
NO, A BIG NO, SUA IS OK. Ingawa wameanza kuenroll vilaza wengi! Wanaiharibu. SAUT Mwanzoni ilikuwa makini katika udahili, with awamu ya nne, kikawa ndio chuo chenye "millions"!!!!!!????? of students in Tanzania. Walimu waliwapata wapi? ---substandard teachers.....
Swali la msingi ni je wanawalimu wanaofundisha wakutosha wa calibre inayotakiwa? Hapa tujiulize nafasi ya TCU na auditing inayofanywa na TCU kama ni ya kuridhisha. Staff complement ya SAUT iko wazi kwenye Prospectus yao ya 2015-2017 na wamekuwa wanaajiri, wanatrain staff wao na wana part time staff. Pia tukumbuke wana-mapadri wengi wasomi utawaona kwenye staff list yao pamoja na visiting instructors. PhD relatively siyo nyingi kama za vyuo vya zamani but kwa BA na BSc na dhahiri mwalimu mzuri mwenye masters anamudu. Tumesikia pia maprofessor ambao kuonekana darasani ni nadra. All in all ninachosema vyuo Tanzania vinavyostahili kuwepo sio UDSM na MUHAS tu na labda siyo vyote vilivyopo vinastahili kuwepo (kwa mfano yale matawi ya St. Joseph yaliyofungiwa).
 
always elimu haingaliwi kupitia chuo bt ni kupitia kichwa chwa huyo mwanafunz,unaeza ukasoma wap lkn bdo kichwan ni mweupe tu, aliajiriuwa dogo wa electrical engineering toka udsm kwe kampun mmoja iv na akapewa kitengo as workshop manager, bt yule dogo alikuwa mweupe kichwan mpk unashangaa yan ht mwanafunz wa level 3 electrical toka veta ana mchallange .
 
degree ni degree tuu but kinachotofautisha ni how you defend your degree especially GPA in various stages like,,
1)Interview
2)Efficiency.
3)Deliverance.
4)Reasoning Capacity.

Kuna watu wana GPA nzuri kwenye vyeti vyao ila wanashindwa kuzitetea kuanzia kwenye interview mpaka kwenye ajira then at the end of the contract you sacked but kuna watu wana GPA za kawaida sana ila they're very good in UTENDAJI

Ukiwa kazini tayari"PROMOTION" haitegemei aina ya vyeti ulivyonavyo ila izo SIFA 3 (2-4) so MWAJIRI MAKINI AHANGALII UBORA WA VYETI ILA UTENDAJI WA MTU.
 
Page ya 12 watu mnajaribu kulinganisha UDSM na SAUT? Seriously? Acheni kuiweka UDSM kwenye mashindano ya kipuuzi ...degree ni degree as long chuo ni accredited na mamlaka husika lakini UDSM ni exceptional. Sijasoma UDSM lakini sipendi kujidanganya penye ukweli na hii wala haibadili thamani ya qualification zangu.
 
Umesoma UDSM wewe acha uongo
UDSM ila nimeshuhudia michujo ya Saut wakati ikiwa Nyegezi institute na kukutana na baadhi ya graduates wa pale; na hata mazingira ya kusoma.
 
Back
Top Bottom