Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Hivi Saut nacho ni chuo?
Sio mbaya, anashawishi kuwa ana degree! Napendaga sana hiyo degree ya miguu! Kama ipo saut nami nakimbilia nikasome hapo hahaaaaHabar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
I wonder kwa kweli!Hivi Saut nacho ni chuo?
Mimi nilisoma Udsm degree ya kwanza na Masters saut Nyegezi.
Aisee St. Augustino wapo vizuri kuliko udsm. Udsm limebaki jina tu. Hovyo kabisa!
msiilinganishe UDSM na vitu vya kijinga, mnaudhi mjue!
Hii ndo point ninayoona inafaa, safi mkuu no harst genaralizationDegree ni degree tu, ukianza kulinganisha mambo utashangaa, tunakutana na watu wa udsm au udom wakali na wengine weupe hatari, pia hata saut wapo vilaza na wakali tu
Au sawa na kufananisha dhamani ya mkaa na dhahabuKuna tofauti....
Unalinganisha starlet na BMW





pumbavu! unafananisha 'twishen centa' na chuo kikuu,hauko sawa upstairs!Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
masterz hawez kuwa mweupe kichwani hivi kaendelee kuuza samaki sengerema;udsm hawez kusoma punguani km wwMimi nilisoma Udsm degree ya kwanza na Masters saut Nyegezi.
Aisee St. Augustino wapo vizuri kuliko udsm. Udsm limebaki jina tu. Hovyo kabisa!
SAUT? Chuo cha kata hicho..watu kuscore coursework za 40 ni kawaida kabsa. Sasa nenda udsm kama hujadisco.