UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

Tunakodisha Bunduki

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
823
1,000
Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapa
1482519536552.jpg
 

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,669
2,000
Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapa View attachment 449583

Mbona wewe umebadilisha alichosema? Kwenye instagram naona degree moja ya Saut ni kama degree tano za UDSM na wala sio degree moja ni sawa na tatu za UDSM kama ulivyoandika wewe. Kwa nini umepunguza hizo mbili? Halafu hayo ni maneno ya mpongezaji wala sio huyo dada graduate.

Hivi hakuna tofauti ya neno 'kama' na 'sawa'?

Lugha kama hizi wakati mwingine uchangiwa na inferiority complex.

Ili mjadala huu uende vizuri ni vyema kufahamu sababu ya kusema hivyo halafu tufahamu pia kipimo cha ubora wa degree.
 

ivankeny

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
310
500
Kizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni bora tu..UDSM ni the best aisee huwez fananisha na vyuo vyenye kutoa GPA ya 4.5 kawaida tu
 

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
6,129
2,000
Nilikuwa sielewagi kumbe hata namba ni relative bhana
Yaan moja certainly ni sawa na tano
Mfano Mume mmoja mke mmoja
Sasa tafuta mwanaume alie katika couple yenye mke zaidi moja
Mletee picha au majina ya wake zake let say majina ya wakeze ni a,b,c,d na e
Swali la I "a" ni nani yako. Jibu a ni mke wangu
Swali la II "b ni nani yako. Jibu b ni mke wangu
Swali la III "c" ni nani yako. Jibu c ni mke wangu nenda mpaka five majibu ni hayo hayo
Sasa unakuja kujua kumbe kuna mazingira fulani 1 ni sawa na tano katika muktadha fulani.
Sasa hamisha mazingira hayo kwenye context ya hiyo degree utajua huyo anaeongea ni mutu aliepata degree katika relative way ndio maana anakiri kuwa moja ni sawa na tano
 

BOD

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
222
250
Ninavomuona ana degree nyingine ya ziada nfkr inptkn hpo saut na sio udsm.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom