UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

Mtoa mada amekosea sana kuleta mada hii huwez linganisha udsm na saut,udsm ni international universty.saut unaweza kukilinganisha na vyuo kama sebastian kulowa,mwenge university,teofilo kisanji unversty,marian universty,
 
Wewe acha kulinganisha Sebastian kolowa na vitu vya kijinga ndio chuo kikuu bora cha special education Africa mashariki na Kati
 
Mimi nilisoma Udsm degree ya kwanza na Masters saut Nyegezi.
Aisee St. Augustino wapo vizuri kuliko udsm. Udsm limebaki jina tu. Hovyo kabisa!

Ilikuwa degree ya nini! Labda tuambie kwanza!
 
ZOTE TAKATAKA TU so what???????? ilisikika sauti ya mwanachuo wa azam college mwaka wa 20 ktk kitengo cha kupakua lambalamba za ubuyu
 
Back
Top Bottom