Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,341
Hata UDSM inaweza kuwa na kitu cha ajabu. Muulize JPM atakueleza kuhusu MD na wengine tukashangaa.Acha kufananisha udsm na vitu vya ajabu ww?
Hata UDSM inaweza kuwa na kitu cha ajabu. Muulize JPM atakueleza kuhusu MD na wengine tukashangaa.Acha kufananisha udsm na vitu vya ajabu ww?
Udsm mnapenda sifa nyieSAUT? Chuo cha kata hicho..watu kuscore coursework za 40 ni kawaida kabsa. Sasa nenda udsm kama hujadisco.
Mkimaliza kubishana naomba uni PM namba za huyo binti pichani. NimpongezeHabar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
mwambie huyo bhanaAcha kufananisha udsm na vitu vya ajabu ww?
ukitaka kufundishwa na watu wenye akili, nenda UDSM, ila ukitaka kufundishwa na vilaza, nenda saut. utafanana tu na wao.Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
Inategemea unazungumzia kozi ipi. Kwa kozi zinazohusiana na uandishi wa habari, SAUT hawana mpinzani Tanzania. Pia kwa kozi za uhasibu.Udsm ninayoijua mimi au udsm ipi saut chuo cha kata kilianzishwa mwaka 2006
Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
We cheza tu na Simba mzee ata..........Saut Juu udsm hamna lolote pumba tu SAUT ndio chuo bora kwasasa hapa Tz
We cheza tu na Simba mzee ata..........
Hii mpya-SAUT wana vigezo vyao na sio vya TCU? Kuingia chuo hatuangalii division tuna angalia points mtu alizopata na ushindani uliopo baada ya kukidhi vigezo vya TCU. Nashangaa msomi hujui tofauti ya kufaulu na kufeli.Saut watu wote waliofeli ndo huwa wanaenda huko kukuta divison.one au two saut ni kazi ila 4 na 3 ndo zimejaa mno
Huu ulio andika ni uongo dhahiri ingekuwa hivyo TCU wangefungia chuo. Wingi wa masomo si kitu vyuo hupitana. SUA na UDSM ni tofauti na kadhalika vyuo vingine na hii haijawa issue au kwa sababu ni SAUT? Chuo huamua malengo yake-na SAUT kusoma Kiingereza na French kwa course fulani ni lazima. Je kujua French ni majanga au ni faida? Mbona most french speaking countriesn zinafundisha English? Unawaonaje kwenye kazi za kimataifa ? Wenzako wanaona hiyo ni fursa.Na pia kiukwel walimu wa saut hakuna kitu kabisa saut hakuna walimu kabisa wanafundishwa na wanafunzi wenzao tu wenye degree. Au ambao wanachukua masters il usema walimu wa kueleweka hakuna kitu .na pia kuna wingi wa masomo ambao hauna maama mfano unaambiwa usome french na ni lazima
Jipe moyo utayashinda.Saut Juu udsm hamna lolote pumba tu SAUT ndio chuo bora kwasasa hapa Tz
Huo ndio ukweliJipe moyo utayashinda.