mamaudaku
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 703
- 467
Hivi Saut nacho ni chuo?
Yaani nilitaka kuuliza maana vituko vya sauti mmh Ktk idadi ya vyuo kweli imo hebu toka na kadegree kako Ka sauti nje ya nchi ndio utaona katakavyo pigwa buti
Hivi Saut nacho ni chuo?
mhh sina hakika mkuu,Mimi nilisoma Udsm degree ya kwanza na Masters saut Nyegezi.
Aisee St. Augustino wapo vizuri kuliko udsm. Udsm limebaki jina tu. Hovyo kabisa!
point.Hizi classes ni mbaya sana na je zinamsaidiaje mtanzania wa kawaida?matabaka haya huamia mpaka maofisi na wengine kuanza kudharauliana kutokana na vyuo walivyosoma wengine wakijiona bora kuliko wenhine.
Swala la kujadili ni jinsi ya kuinua Viwango vya Elimu yetu vyuoni angalau hata kwenye vyuo vya tano bora Afrika nasi tuwepo
Duuuh wenda degree ya NgonoHabar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
Mkuu cjakupata freshNilikuwa sielewagi kumbe hata namba ni relative bhana
Yaan moja certainly ni sawa na tano
Mfano Mume mmoja mke mmoja
Sasa tafuta mwanaume alie katika couple yenye mke zaidi moja
Mletee picha au majina ya wake zake let say majina ya wakeze ni a,b,c,d na e
Swali la I "a" ni nani yako. Jibu a ni mke wangu
Swali la II "b ni nani yako. Jibu b ni mke wangu
Swali la III "c" ni nani yako. Jibu c ni mke wangu nenda mpaka five majibu ni hayo hayo
Sasa unakuja kujua kumbe kuna mazingira fulani 1 ni sawa na tano katika muktadha fulani.
Sasa hamisha mazingira hayo kwenye context ya hiyo degree utajua huyo anaeongea ni mutu aliepata degree katika relative way ndio maana anakiri kuwa moja ni sawa na tano
Tuulize aisi tuliosoma udsm na saut. Mwanao anasoma shule ya private au government? Ukiugua unaenda hospitali za private au government?Yaani nilitaka kuuliza maana vituko vya sauti mmh Ktk idadi ya vyuo kweli imo hebu toka na kadegree kako Ka sauti nje ya nchi ndio utaona katakavyo pigwa buti
Wallahi udsm ni majengo tu! Kazi kula desa afadhali hata udom ingawa sijasoma hukomhh sina hakika mkuu,
Ni kweli, udsm chuo cha kitoto. Mimi nimesoma saut (masters) na udsm (undergraduate). Saut wako serious acha kabisa!Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
Ni kwelGet busy achana na habari ambazo hazikuletei hata mia mfukoni
Nicha 8SAUT ya ngapi kenye zike rank za vyuo duniani..??
endelea kudoubt, siku utakapoamka na kukuta CV Yako ipo mezani kwangu, ndio utapata majibu ya kutofautisha kati ya UDSM na sautNina wasiwasi na wewe kama kweli ni msomi.
DaaahMimi nilisoma Udsm degree ya kwanza na Masters saut Nyegezi.
Aisee St. Augustino wapo vizuri kuliko udsm. Udsm limebaki jina tu. Hovyo kabisa!
University ni moja tu! UDSM, MUHAS. BASI VINGINE NI KUJIKONGOJA FADHILA ZA UDHAIFU WA AWAMU YA NNE.Udsm ninayoijua mimi au udsm ipi saut chuo cha kata kilianzishwa mwaka 2006
Tunawaona kwa mfano wale wa Mass Communication wengi wa watangazaji wa hivi vituo vya redio, TV unawaona kuwa they are empty! Most of them are from SAUT. Tunawaona. Kuanzia ITV all the way to rotten Clouds!Daaah
Yaan uamuzi tu wa kusoma MA ya SAUT kwa kweli ni wa kutiliwa hofu, hapo urirudi nyuma hatua 10 zaid