UDSM tupunguzeni masifa sasa

Tena izo ID zinawarahisishia wamachinga wakiwaona tu na ID zao wanajua hawa walugaluga wameshika laki tano za mkopo,


T-shirt ya buku 4 anauziwa buku 9.
Anauziwa kiatu timberland fake chinga kama ananawa vile [emoji23] [emoji23]
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
 
Hahahaha
Waache vijana waji praud, mbona hata wa ifm, cbe, na TIA wanavaaga
 
ukinisoma between lines utajua nimemaanisha nini!
Binafsi nimefundishwa na baadhi ya hao wateule ni ukweli usiopingika wapo vizuri kuliko hawa wengine wanao ajiriwa kipindi hiki
Binafsi naona jpm anaiharibu udsm
Nimekupata mkuu. Kuna idara chuo kimoja imefanikiwa kutoa viongozi wa vyuo kama 6 kwa muda mfupi-sasa kazi hapo ni tia maji tia maji. Lakini wakubwa hawaoni na ukisema utaonekana huwatakii waheshimiwa mafanikio.
 
Sahani kidogo kwani sheria inasema wavae mwisho wapi? Kama hamna kikomo basi waacheni, ww kama unasoma IMTU basi vaa cha IMTU
 
Heshima yako Mkuu kwa uchambuzi huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu sana, mada haikuwa huku but anyways ngoja nikupe mfano mmoja tu Wa wataalam Wa kiswahili kutoka UDSM na simaanishi kuwa vyuo vingine havina impact ila kwa kuwa issue on the table ni UDSM.

Point: mkataba Wa EPA uliosomwa Bungeni na Prof. Paramagamba Kabuni umetafsiriwa na IDARA YA TAALUMA ZA KISWAHILI( TATAKI ) UDSM. Huo ni mfano mmoja in million
 
Kuvaa hizo ID holder kwa lengo la kuwekea ID sio ujinga ila itakuwa ujinga kama wanavaa holders peke yake bila kuweka ID lakini ni ujinga zaidi kutaka vijana wasivae hizo holders kwa ajili ya lengo lilokusudiwa!

Mkuu, kuvaa hadi nje ya maeneo ya chuo au hostel?
Kila kitu kina wakati na mahala pake. Asiyezingatia ukweli huu ni mjinga na limbukeni tu.
 
Hivi kuitoa mfukoni na kuionesha au kuivaa anapoingia maeneo anayotakiwa awe ameivaa kunachua muda gani?
Wafanyakazi huwa tunavaa tukiwa eneo la ofisi, tukitoka kidogo tu tunavua hivyo vitambulisho vyetu.
Kuning'iniza kitambulisho maeneo yasiyohitaji kitambulisho ni ulimbukeni.
 
[emoji1][emoji1] naona roho inakuuma saana unapowaona hao vijana wamevaa hizo ID
Hivi wew ulisoma chuo gani mkuu ??
sio kwamba anaumia roho ..ila anawaonea huruma watakavyo[emoji124] [emoji124] [emoji124] mtaani na bahasha wakitoka hapo..alaf wengine ndio B.A siajiriki..
 
Ndiyo maana mimi nayanyima lift huku njia ya baruti vitambulisho utadhani manamba wa mashamba ya mkoloni. Hasa mijidume unalikuta limenong'niza Id linadhani ujiko kumbr ushamba tu.
 
Wasukuma katika ubora wao wa kuvaa I.D CARD kila mahali,
Teh teh teh teh teh.......
 
Jina tu kichwani hakuna kitu. Hawa wanakuja sana field huku na huwa tunawashangaa sana.

Wakati wa muda wa kazi wao ni kuzunguka zunguka tu na laptops zao as if ni ma-secretary. Hakuna wanachokuja kujifunza zaidi ni kuja tu kazini kuja kuandika report na laptops zao. Facebook, WhatsApp na Instagram ndio vijiwe vyao.

Miaka yangu yote ya ku-interact na wanafunzi sijawahi kukutana na mwana UD ninaemwona anaweza kuwa Engineer wa kweli.

Jifunzeni kwa majirani zenu huko DIT na Mbeya. Hawa nawakubali sana na hata kwenye kazi wanajituma sana

Ndio maana mnapokuja kuomba kazi tunawaona ni wale wale. Sio kwamba mmelogwa bali mnajiloga wenyewe.

Ingekuwa na amri yangu nisingewapokea kabisa zaidi mnakuja kututia hasara ya vyakula tu.
 
Watu bahna, ule ni utambulisho wao. They are proud of! wacha wavae wanajikubali ni wanafunzi mbona askari anapita na nguo zake popote? Huo ni utambulisho kuwa yeye ni mwanafunzi sio dhambi. Wacha wafurahie wakati ukipita basi.
 
upungufu wa akili kichwanii.. soma uzi vizuri na pangua hoja zote kama sio masifa hayo ni nini,, ukweli wajulikana bana tubishe tuu UDSM TUNAJIONA HADI YAWA KERO KITU KIDOGO UDSM
 
shida
ukweli ni kwamba zimeandikwa UDSM STUDENT sasa inawapa vichwa weng kuivaa muda wote nahisi hata ww unahak kau ugonjwa,,, tuacheni ujing wakujiona tukumbuke kuna maisha baada ya chuo hayo maisha hayatajali umesoma chuo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…