vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Political Science kukosa GPA kama hizo ni kosa la jinai, somo lenyewe siasa kila mtu anaweza, sasa kama prof J, wema na uwoya wanapiga politics, utashindwa vipi kupata 5.9 GPA.
Hiyo GPA ni ya sayari ya mars hapa duniani haipo kajaribu kuondoa ujinga