UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

GPA miaka 40+ ya nini, GPA haifanyi kazi yeyote, Mtaani hufundisha zaidi ya viuo vya kukaririshwa
 
kweli zero kichwani! uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo. hahaaa. angalia post yako. utajua kuwa haieleweki. ndo maana wamekuuliza gpa ipi aliyopata ambayo haijavunjwa kirekodi. umejibu kuwa alipata A. Is A a gpa.? acha ujuaji wa kishamba kama thread haieleweki mbona watu wanachangia, wewe kama hujaelewa tulia wanaoelewa wanachangia.
 
UDSM haijawahi kumtoa mtu mwenye GPA inayozidi 4.3 kwenye B.A in Political Science and Public Administration (PS&PA) since its establishment.
 
Napenda kuuuliza hili kwa wanafunzi waliyowahi kusoma BA university of Dar es slaam kama kuna mtu ambaye amemaliza BA nakupata GPA zaid Maalimu Seif!

Kwasababu miaka ya 2008 ilikuwa kwenye record ambayo haikuwahi kuvunjwa na mtu!
Kama ulitaka kumsifu, we taja sifa zooote ili sisi tulinganishe na uwezo wake mitaani au ktk kazi yake. Ukianza kuuliza, baadaye tutauliza ni mwaka gani ni kozi gani na tutapata majibu ya hovyo. Si unaelewa GPA ya political siyo sawa na kule kwenye mitambo! Sifa za nini sasa!
 
Back
Top Bottom