UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

Political Science kukosa GPA kama hizo ni kosa la jinai, somo lenyewe siasa kila mtu anaweza, sasa kama prof J, wema na uwoya wanapiga politics, utashindwa vipi kupata 5.9 GPA.

Stroke unaakili sana. huo ndo ukweli. tena hiyo gpa ya 4.8 ni ndogo sana kwa political scince. ingekuwa engineering, md angalau ningesema ni kichwa. big up stroke
 
Hizo GPA zina msaada gani kwenye ukombozi wa Mtz? Tuliona maprofesa ndio hao wanaongoza Escrow - mil 10 za mboga, ninyi wekezeni kwenye juisi tu ....
 
Mkuu Pasco,kama nakumbuka vizuri Palamagamba Kabudi alipata 4.9.aligonga A zote ila aligonga B+ kwa Prof Gamaliel Mgongo Fimbo!
Mkuu Magwangala, asante kwa taarifa hii, mwaka 2011 wakati UDSM ikisherehekea miaka 50, Prof. Kabudi alipewa distinction award kama mhitimu aliyepata highest GPA ever!, kama ilikuwa 4.9, sasa hizi GPA za 5.0 zinazozungumza humu ni za UDSM ipi?, au ni mimi nilijichanganya kuwa ilikuwa ni highest kwenye LAW tuu?!.

Pasco
 
mwigulu mwenyewe alivunja record bali hakuna alie fikia ya lipumba mpaka leo ukimtia mkandala pekee
 
Political Science kukosa GPA kama hizo ni kosa la jinai, somo lenyewe siasa kila mtu anaweza, sasa kama prof J, wema na uwoya wanapiga politics, utashindwa vipi kupata 5.9 GPA.

Hahaha kumbe kuna GPA hadi ya 5.9?, Bora usome Civil Engineering COET lakini sio PSPA ya kina Muya et al.
 
grade point average (GPA)
First Class 5 to 4.5
Upper second 4.4 to 3.5
Lower second 3.4 to kwingine huko kwa vilaza.

Pascal Ndege correction first ni 5.0 mpk 4.4, 4.3-3.8 upper second na kurudi nyuma...Thats how S.U.A wana grade na nahisi its universal kwa vyuo vya serikali apa bongo
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana wewe hujui hata GPA ni kitu gani tatizo kushinda chumba cha madrasa asubuhi hadi jioni.
Wewe punguani wa Chadeama hivi Waislam walikukosea nini una chuki sana na Waislam haya maneno kamwabie Prof Safari na Mwalim na Mohamedi Mtoi.
 
Napenda kuuuliza hili kwa wanafunzi waliyowahi kusoma BA university of Dar es slaam kama kuna mtu ambaye amemaliza BA nakupata GPA zaid Maalimu Seif!

Kwasababu miaka ya 2008 ilikuwa kwenye record ambayo haikuwahi kuvunjwa na mtu!
Freeman Mbowe alikuwa mwanafunzi bora wa masomo ya uchumi UDSM mwaka 1985.
 
Back
Top Bottom