UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

HAHAHA ETI SEBASTIAN KULOLA MEMORIAL UNIVERSITY (SEKU) ama THEOFILI KISANJI UNIVERSITY (TEKU) NAVYO NI VYUO MZEE BABA.KHAA
 
Ukipitia thread kama hii, ndio utagundua watu wengi hua wanajitapa wamefika mpaka chuo kikuu, kumbe ni uongo wote wengi hawajafika vyuo, na utakuta wengi wanajitapa wamesoma UDSM kumbe vilaza tu, ANGALIA COMMENTS ZAO HAWAJUI HATA GPA zina range vipi wanalopoka, shame on you shenzi kabisa
 
True kuna mmoja hapo juu ........... naishia hapa
 
Political Science kukosa GPA kama hizo ni kosa la jinai, somo lenyewe siasa kila mtu anaweza, sasa kama prof J, wema na uwoya wanapiga politics, utashindwa vipi kupata 5.9 GPA.
Hata GPA ya 32 inawezekana kabisa
 
Back
Top Bottom