UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

Napenda kuuuliza hili kwa wanafunzi waliyowahi kusoma BA university of Dar es slaam kama kuna mtu ambaye amemaliza BA nakupata GPA zaid Maalimu Seif! Kwasababu miaka ya 2008 ilikuwa kwenye record ambayo haikuwahi kuvunjwa na mtu!
Wewe ni mshamba kwelikweli. GPA haina uhusiano wowote na siasa. Si onawaona Ma-prof wengi wanaingia ulingoni wanachemka?
 
Napenda kuuuliza hili kwa wanafunzi waliyowahi kusoma BA university of Dar es slaam kama kuna mtu ambaye amemaliza BA nakupata GPA zaid Maalimu Seif! Kwasababu miaka ya 2008 ilikuwa kwenye record ambayo haikuwahi kuvunjwa na mtu!
Watu kweli mmempenda maalim!!
 
Back
Top Bottom