UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

bana alsoma akiwa mtu mzima maana alianzia ualimu wa secondary tu.
 
UD kuna vijana pale School of Law walilamba vyote (GPA 5). Na hii 4.8 kwa sasa ni kama mchezo tu. Kule Telecom Engineering vijana wanazipiga sana hizi. Kuna kijana yupo TCRA hapo alipiga hii GPA na ni kichwa sana.

we ulipata ngapi mkuu pale chuoni kwako??
 
Huu ujinga wa kupima mambo kwa GPA unalevya sana wengi. Maisha hayaendeshwi kwa GPA. Kipo kipimo kingine. Kitafuteni.
 
GPA GPA GPA... Tanzania kweli inahitaji mabadiliko... Na siyo ya UKAWA wala CCM bali ya kifikra... Na ya kifikra ya mtu mmoja mmoja...
 
Duh huyo haoleki maana ni shida nyingine duniani! Haya masomo mpaka upate first class lazima unalala library

Huyo binti ni mtu wa kujirusha,hajui tution inafananaje,kozi aliyochukua ni mpya inahusiana na Hifadhi ya Jamii,alisoma EGM Benjamin Mkapa na mwaka wao aliongoza kwa somo la Economics Tanzania
 
Napenda kuuuliza hili kwa wanafunzi waliyowahi kusoma BA university of Dar es slaam kama kuna mtu ambaye amemaliza BA nakupata GPA zaid Maalimu Seif!

Kwasababu miaka ya 2008 ilikuwa kwenye record ambayo haikuwahi kuvunjwa na mtu!
Sikubahatika kuisikia hii GPA ya Maalim Seif, ila naifahamu GPA ya kiongozi fulani, alipata 1.9 ila baraza la seneti ya UDSM lina mamlaka ya kuongeza hadi two points, hivyo akaongezewa points zake mbili akatoka na GPA ya 2.1.

ila pia rekodi ya GPA ya juu kabisa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, bado inashikiliwa na Prof. Palamagamba Kabudi, alipiga GPA ya 5.0!, funga kazi!.

Mimi pia nilipita UDSM ila sikubahatika kupata GPA yoyote kwa sababu ile najiunga tuu mwaka nilizungusha kabla GPA hazijatoka!.

P.
 
Kuna watu hapa wanadharau GPAs ( Grade Points Average), lakini hawa ni wale wa hadithi ya sungura aliyeshindwa kufikia zabibu mbivu. Inatisha sana Tanzania kuna nadharia kuwa kusoma si kitu bora akili ya kuzaliwa, na uongo kama huo.
 
Jamaa kichwa sana....Mwalimu Nyerere alimwandaa vizuri sanaa Maalim Seif...

His IQ is clearly the best and unquestionable...!!!

Ewe punguani Nyerere si angewaandaa wanawe angekuwa na uwezo wa kuandaa, amuandae Seif yeye nani?
 
Back
Top Bottom