Mangi Muitori
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 653
- 422
Wewe ni mshamba kwelikweli. GPA haina uhusiano wowote na siasa. Si onawaona Ma-prof wengi wanaingia ulingoni wanachemka?
Kwani maprofesa walipata nao GPA kubwa kama yake?
Nyerere alikuwa hachukui vilaza ndio maana kina Jakaya wakatupwa huko Tabora wenzake wakabaki Ikulu