Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,043
- 7,477
Freeman Mbowe alikuwa mwanafunzi bora wa masomo ya uchumi UDSM mwaka 1985.
Unatoka kwenye ukengemaji kwenda kwenye mjusikafiri.
Freeman Mbowe alikuwa mwanafunzi bora wa masomo ya uchumi UDSM mwaka 1985.
BA ya nini?alisoma BA
BA ni kitu gani? Inaweza kuwa na maana nyingi vyuo tofauti eg Business Administration, Bachelor of Accounting, Bachelor of Arts. Jaribu kwa specific ndugu.
Wewe ni mshamba kwelikweli. GPA haina uhusiano wowote na siasa. Si onawaona Ma-prof wengi wanaingia ulingoni wanachemka?
Vasco da Gama, alikuwa na Disco nyingi sanaaa, sanaaa... ulizia utashangaaa...!!
Labda alkkuwa na GPA nzuri ya kwa sababu ya kutumia JUCHE kwenye paper, na ndiyo maana hata LOWASSA amem-win kirahisi na vipande vya dhahabu"Disco nyingi " duu, haya bwana
Pascal Ndege correction first ni 5.0 mpk 4.4, 4.3-3.8 upper second na kurudi nyuma...Thats how S.U.A wana grade na nahisi its universal kwa vyuo vya serikali apa bongo
Mbowe sasa anakujaje hapa? Una chuki binafsi naye maana........ All in alll ma-GPA and ma-degree , ma-books na ma-dictionary ni huko shuleni, uraiani ni how much you deliver to your needy society! Kama mnaweza ku-interchange patients for head and leg surgery, then GPAs are a curse!
unajua lkn maana ya disco au unaongea tu! kama ali disco alimalizaje sasa au alienda kusoma chuo gani mbadala!
Babaake mbona kama wewe ndie usieeleweka zaidi?kweli zero kichwani! uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo. hahaaa. angalia post yako. utajua kuwa haieleweki. ndo maana wamekuuliza gpa ipi aliyopata ambayo haijavunjwa kirekodi. umejibu kuwa alipata A. Is A a gpa.? I am real empty headed my friend. take time, think before you raise your tongue,