UDINI ni kitu kibaya sana

UDINI ni kitu kibaya sana

yaani mnakula nguruwe kila siku na w
Imenigusa Sana ndiomana nahisi tuliohumu ktk hii forum tunajifunza mengi Sana kila siku MIMI naishi mahala na mwiislamu fulani anaswali sawala tano mimi ni mkristo yeye Ana watoto 3 mimi 2 ila jamaa hapendi na hataki hata kidogo watoto wake wacheze na watoto wangu hata kidogo wakicheza usiku huwa anawachapa Tena wakati Nina mtoto mmoja mwanangu alikuwa anapata shida namana anakosa wa kucheza naye ikanilazimu kutafuta mtoto wa jamaa yangu aje pale nyumbani LAKINI MUNGU ALIJIDHIHILISHA WALIPOANZA KUSOMA WA KWAKE DARASANI HAKUNA KITU KAKWANGU KAKAWA FASTA KUELEWA MTIHANI MWAKA JANA KAKAWA KAKWANZA CHEKECHEA MWAKA HUU DARASA LA LA KWANZA YE WAKWAKE MPAKA LEO BADO HAKUNA KITU NIKASEMA KUMBE YESU ANAJUA KUMUINUA MTU.....

atoto wako halafu unataka watoto wa kiislam waje humo wacheze na wanao ili muwalishe na kuwashikisha nguruwe! hapana kwakweli
 
PUMBAVU WEWE!

KAMA ANGEANDIKA KAMA HAYA JUU PALE UNADHANI NINGEMJIBU

SHIDA SIYO KUKOSOA SHIDA NI KUTUKANA


KAMA NYIE MNATENDA MEMA KWANINI NCHI ZENYE UISLAM NDO ZINA VITA YA HALI YA JUU


SUDAN, YEMEN, SYRIA, AFGANISTANI. LIBYA, IRAQ MPAKA JUZI INDIA


WAISLAM NI DINI YENYE UKOROFI SANA NA NAWAHAKIKISHIA IPO HUKUMU INAWASUBIRI WOTE NYIE

Shetani hapendi amani,
 
Ukweli kabisa hili la waislamu kuwabagua wakristo limenitokea kama mara mbili kuna jamaa afukasti wa kiarabu tulikuwa tunasoma nae alafu tuko jirani vyumba jamaa alikuwa anikataa kabisa unaona ata namba yangu alikua ana wakati huo roommate wangu ndo akawa rafiki yake ata darasa hawasomi pamoja hacha hiyo best friend kabisa Kawa Shekhe kapewa msikiti kanikataa Mimi nafikiri awa jamaa wenzetu kuna mafunzo Wanafundishwa.

Ndio mafunzo yao,adui wao mkuu ni ukristo na uyahudi,watu wa dini hizo wanawachukia kwa muongozo wa kurwani.
 
Mimi siwezi kukutukana,Dini yangu na Imani yangu inanikataza, labda kwa kukusaidia tu, hizo inchi ulizozitaja baadhi ni takatifu waliishi mitume na manabii na wamekufa na kuzikwa humo mfano Iraq

Pili sijui elimu yako ya kidunia,achana na ya dini,hizo inchi zilikuwa na utulivu mkubwa lakini Marekani ambayo ndiyo inchi inayoongoza kwa wakristo duniani na ndiyo inayohamasisha Vita, ushoga na mengineyo ndiyo chanzo cha kuvuruga amani za hizo inchi

Wewe hata ukitombewq mke wako utasingizia wamarekani,
 
Umesahau, pembe za faru, dhahabu na kuleta shanga, kaniki, vioo vya kujitazamia na kuchukuwa watumwa.

Ilikuwa "mport and export".

Umejibu vyema,ni ngumu kumtenganisha mwaarabu mslamu wa dini yake na biashara haramu
 
yaani mnakula nguruwe kila siku na w


atoto wako halafu unataka watoto wa kiislam waje humo wacheze na wanao ili muwalishe na kuwashikisha nguruwe! hapana kwakweli

Wapi muislaamu kakatazwa kula kitimoto,nadhani wewe utakua muislamu wa mchongo.
 
Mambo ya Kujifanya Namjua sana Yesu au Mtume pamoja na mafundisho yao Kwangu hapana kabisa, Natambua babu zetu hawakuwa na Technology ya Kulay down instructions ambazo tungezitumia kuendesha mambo ya Kijamii kwa sasa kama Sherehe, Misiba na Mengineyo ndo mana tuna conduct kwa kufata taratibu za Islamic au Christian mimi I'm none of those two
 
Mkiambiwa ukweli mnalia lia chuki, nyie hapo ndio dini inayoongoza kwa chuki, mnaua watu kabisa na kuchinja kisa hawaamini huyo mwarabu wenu ambaye mwenyewe alikua anaua pia.
Hebu angalia hapa maandamana kabisa kupinga ujenzi wa kanisa, hii ni chuki ya namna gani...



Watakuja kusema hao sio waislamu
 
Mimi sikubaliani na wewe tz hatujafikia huko sisi ni wamoja bado ungesema siasa sawa lakini udini nakataa mfano mdogo mtaani kwetu asilimia 99 ni wakiristo lakini mwenyekiti wa mtaa ni muislamu na tunaheshimiana
 
Umejibu vyema,ni ngumu kumtenganisha mwaarabu mslamu wa dini yake na biashara haramu
Haramu kwa sasa, wakati huo zilikuwa ni biashara za kawaida kabisa.

Usisikie ya kuambiwa, Waarabu unaowaponda leo hii ndiyo wsliokuelewdsha hata hilo neno "haramu".


Manufaa mengi sana ya nchi hii yaliletwa na Waarabu, hata mchele, mahindi na ngano usingeyajuwa isingekuwa Waarabu.
 
mzee hebu tupe miongozo hizo dini za kiafrika (mifumo yake ipoje) maana naona mnadanganywa na nyinyi mnaingia tu mkenge...

historia zote za kweli ukisoma ni kwamba tangu zamani hapa africa uislamu ulienea kila kona kabla ya uvamizi wa wageni kutoka ulaya na kuja kupenyeza dini zao

well, utasema huo uislamu uliletwa na waarabu ukiwakuta waafrika wako na upagani wao lakini njia uliyoletewa haikuwa na madhara kabisa na walipoletewa waliupokea wakifurahi kabisa na wakaishi vizuri na hao waarabu

hebu rudi sasa kwenye njia zilizotumika kuingiza dini za ulaya, unakuta mauaji, nguvu, ubabe, hila, unyang'anyi na kila lililo kinyume na matakwa ya binadamu
Kila nikikumbuka niliwahi kukosa mke Kwa ajili ya utofauti wa dini za wazungu na waarabu naishiwa nguvu.Muogope sana mtu anaeendekeza dini regardless anaamini dini za waarabu au wazungu Bora awe anaamini dini zetu za kiafrika
 
Udini ni Mbaya sana, ona sasa kuna baadhi ya mambo unashindwa kuyatafakari kikawaida na kuyachukulia kidini.
Habari za viongozi mara kula nguruwe kutapika.. Huoni kama ni chuki tu.

Hey come on guys, Tuish Maisha bhna kwa kupendana.
hakika naamini kama hizi dini znge kuta waafrika wanajielewa zsingefanikiwa kupenya kwenye bara la Africa tatzo zlikuta wakna Mangunga,Mkwawa na wengine ndo walikua wanaakil kwa kipnd icho wakazibeba sisi tukizaliwa tunamezeshwa kila mtu anavutia upande wake tunakosa vtu vng sana vitamu acha nimalizie kiti moto yang kwanza apa ntakuja baadae
 
Wewe hata ukitombewq mke wako utasingizia wamarekani,
Unajua katika Imani ya Kiisilamu tumefundishwa sana kuheshimu watu na uvumilivu,mimi siwezi kutukana humu mtandaoni,maana najua haya tunayoandika siku moja tutakuja onyeshwa mbele ya Muumba wetu
 
Kuna jirani muislamu,kaninunia kisa nafuga nguruwe,una la kusemaje juu ya huyo ndugu muislamu
Inategemeana unafuga katika mazingira gani,kwanza kumbuka nguruwe ni mchafu kuanzia jinsi anavyofuga,harufu inayotoka bandani mwake hairuhusu kufuga kwenye misongamano ya watu.

Jirani yangu mmoja alikuwa anafuga nguruwe kabla sijaslimu ilikuwa inanipa tabu sana, harufu makelele yake na kila kitu
 
Mkimuyangu kiongozi sio hivyo unajua huyu niliyesema alikuwa best friend tena mwakajana Tu nilikuwa vizuri kabisa kaenda Hadi kunisaidia kazi sehemu sasa nimeanza kujiuliza huyu jamaa mbona amekata mawasiliano gafla na sijamfanyia kitu nikavuta kumbukumbu zangu alisema anapewa msikiti yeye ndo awe Shekhe na saivi ameingia kwenye dini sana sana tofauti na mwanzo Yani masaa 24 na hizo hela sijui anatafuta muda gani
Huyu mwarabu yy ndo alikuwa ananibagua wazi wazi na Mimi Hilo nikalijua na marafiki zake wengi walikuwa watu wa dini yake
Iko hivi yaani ukitaka uishi kama maisha waliyokuwa wanaishi Mitume wa Mwenyezi Mungu,watu watakuchukia tu,yaani vaa kanzu mda wote,fuga ndevu,sali sana,ule upande wa pili watakubatiza majina mengi bila kusahau hayo ndiyo yalikuwa maisha ya Yesu
 
Back
Top Bottom