UDINI ni kitu kibaya sana

UDINI ni kitu kibaya sana

Mbona wewe hujauwawa.? Au hapa Tanzania Kuna mtu kafa sababu ya dini tusikuze vitu. Ingawa ni kweli upo ubaguzi lakini niwa watu wachache,Tena dini zote mfano wakatoliki na wasio wakatoliki , au wasabato na walokole .Mwisho wa siku tunapigana vijembe maisha yanaendelea

Haujanielewa, umedandia tu....
Kwa sasa dunia inaishi kwa amani maana waislamu wengi hamfuati hayo maagizo mlioagizwa ya kuchinja wasio wa imani yenu.
Wachache wanaoyafuata ndio hutulipukia mabomu, amri zenyewe ziko bayana.

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Kupitia hizi dini wakoloni walitutawala kwa principle ya divide & rule, dini ni upuuzi tu. Unakutana na James wa shinyanga anajifanya kumjua yesu kuliko wayahudi wenyewe au Juma wa Songea anajifanya kumjua Muhammad kuliko hata ndugu zake wa karibu. Stupid
 
Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.

Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dini hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona

Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.

Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.
Kwa waislamu wenye msimamo mkali ndugu ukikana dini yao wanakuchinja kama kuku. Tunahitaji ukombozi kutoka kwenye hizi dini zetu.
 
Haujanielewa, umedandia tu....
Kwa sasa dunia inaishi kwa amani maana waislamu wengi hamfuati hayo maagizo mlioagizwa ya kuchinja wasio wa imani yenu.
Wachache wanaoyafuata ndio hutulipukia mabomu, amri zenyewe ziko bayana.

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Ohh! Dini gani hiyo?! Wallah!!
 
Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.

Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dini hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona

Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.

Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.
Hapa JamiiForums Kuna Daily dose ya kutukana Waisilamu kila siku, hukosi thread 5 ama 10.

Pia Uisilamu unaongozwa na sheria zake hatufuati mihemko, jifunze waisilamu wanaishi vipi utaishi nao vizuri otherwise usiforce maisha na lifestyle yako waisilamu nao waifuate Hio Hio.
 
Mimi ni Mkiristo lakini msiwaseme waislamu vibaya mimi nimeishi nao sana.

Mademu wangu wote nilio lala nao, Amina, Aziza, Husna, Mariamu na Sheila wote nilibahatika kupata waislamu yote tisa ila kumi waislamu wana roho nzuri sana ila hawa waislamu kanzu walio sahau uislamu kazi kutapeli watu na kuuza ngada allah awafanyie wepesi. Pia waache ushoga kina jumalokole.

Tatizo ni kuwa muslim wanaopigana kareti na judo au mashorati wanajazana ujinga na kudharau ukiristo lakini jamani eeeh waislamu wa bara ni wenzetu wana roho nzuri tu bado kuna shida kwa hawa wa pwani..
 
Dini ndio kimbilio pekee la wajinga dunian. Ukiachana na dini kuna imani potofu ama superstition na intuition.
Wenye akili tunatumia ujinga kupata tunachotaka kupata, sumple like that, everything is an art, if you master the arts deal done.
Zumaridi anakupa stori za kwenda mbinguni, mara mtume Paulo alikutana nae mbinguni akamtongoza akamkataa.

Natafuta masikini wauze mali zao kidogo walizonazo kisha wanikabizi mimi mteule niwaekee kisha nitaenda na pesa zao mbinguni kwa mbele kufanya biashara. Kila mwisho wa wiki nitakuwa nawatumia faida kwenye simu zao.... Akili tu mtu wangu
 
Kila siku UDINI,kwani mnakula,kuvaa huo udini,kila mtu ashike anachoamini kinamsaidia,wa BIBLIA shikeni Bible,wale wa MSAAFU,kazaneni huko na wale wazee wa ngwasuma,MATUNGURI kamateni pia!hakuna haja ya kupangiana,kuchukiana kwa kuwa hakuna mwenye uhakika wa nani yuko sahihi#TUHESHIMIANE
 
Magaidi ndio yanauishi uislamu,mana kurwani imesema muislam ndugu yake muislamu,makristo na mayahudi na maadui namba moja,dini ya mudi ina shida mahali
Fundi Seremala alikuwa dini gani ?
Tafakari kabla kuchafua hewa.
 
Fundi Seremala alikuwa dini gani ?
Tafakari kabla kuchafua hewa.
Huyo jamaa usibishane nae ni wa huko kanda ya ziwa kwanza ni mkristo ila anajua kabisa ukristo sio dini😂😂 sasa hawezi kuslimu kwa vile yeye ni mlevi ,mzinzi anaona uislamu utakuwa mgumu kwake.

Automatically ana chuki za moyoni na uislamu mara atoleee mifano ya watu wa mashairiki ya kati hapa bongo anashindwa kabisa😂
 
Imenigusa Sana ndiomana nahisi tuliohumu ktk hii forum tunajifunza mengi Sana kila siku MIMI naishi mahala na mwiislamu fulani anaswali sawala tano mimi ni mkristo yeye Ana watoto 3 mimi 2 ila jamaa hapendi na hataki hata kidogo watoto wake wacheze na watoto wangu hata kidogo wakicheza usiku huwa anawachapa Tena wakati Nina mtoto mmoja mwanangu alikuwa anapata shida namana anakosa wa kucheza naye ikanilazimu kutafuta mtoto wa jamaa yangu aje pale nyumbani LAKINI MUNGU ALIJIDHIHILISHA WALIPOANZA KUSOMA WA KWAKE DARASANI HAKUNA KITU KAKWANGU KAKAWA FASTA KUELEWA MTIHANI MWAKA JANA KAKAWA KAKWANZA CHEKECHEA MWAKA HUU DARASA LA LA KWANZA YE WAKWAKE MPAKA LEO BADO HAKUNA KITU NIKASEMA KUMBE YESU ANAJUA KUMUINUA MTU.....
 
Chukulia mfano hapa kwetu palikuwa na brother alikuwa na wanae wawili wadogo ,jirani yake ni mkristo wale madogo wa bro wanaenda kucheza na wa kule wanakuja hata kula ila mbaya watoto wa bro walilisha nguruwe kule wakaanza kubabuka midomo ya kuharisha mpaka ikaja kugundulika.

Kuishi na wakristo ni tafarani kabisa assume harufu ya mtu anayekula nguruwe na pombe wana harufu fulani ya kinyaaa sana bado hawajisafishi wakienda haja yaani matatizo tunaishi na nyie maisha hatuna tabu.

Wakristo wanakaririshwa chuki na roho mbaya na hawa wanaishi kwa kufanya dhuluma ,utapelu uwizi, ujambazi kawaida sana ili mradi wapate kitu maana dini yao haijui mambo haramu katika kutafure riziki.

Wakristo ndo wanaongoza kwa chuki dhidi ya waislamu,Rejea habari ya uchomaji wa Qur an mara ichomwe mara wakojolee ili mradi tu kuleta chokochoko ,Mda mwingine unasikia mtu kamtukana Mtume sasa yote ya nn ?..."Nyie mna dini yenu sisi tuna dini yetu"

Hata uzi uliopita juzi uliandikwa kingereza ila content nzima ilikuwa kwa nn viongozi wa kikristo haswa marais kipind cha utawala wao paligubikwa na matukio ya kikatili haswa yakiwa ya kimlaka.Asili ya ukristo na wakristo ni roho mbaya hawana utu kabisa.
 
Juma wa Songea anajifanya kumjua Muhammad kuliko hata ndugu zake wa karibu. Stupid
Ungekuwa unaujua Uislam usingeandika hivi. Elimu haina mwenyewe. "Juma wa Songea" anaweza kusoma na kuifahamu dini vizuri na akawafundisha waarabu. Hili jambo huwa naliandika sana humu. Kuna wanachuoni wakubwa wa kiislam ambao ni waafrika na wakiwasomesha waarabu dini. Tena sio dini tu, kuna waafrika wanawasomesha waarabu lugha ya kiarabu huko arabuni. Hii ni ajabu ya elimu.

Na kwa taarifa yako kuna wanachuoni wengi wakubwa sana wa kiislam na wa lugha (ya Kiarabu) ambao hawakuwa waarabu.
 
Same stupid thing
 
Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.

Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dini hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona

Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.

Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.
Ubaguzi ni hulka ya binadamu wote duniani, hii inatokana na ubinafsi kujiona yeye ni bora kuliko mwingine. Atakubagua kwa rangi yako, kwa kabila, kwa dini na vitu vingine km hivyo. Baba wa Taif mwl. Nyerere alituasa ubaguzi ni sawa na kula nyama ya binadamu mwenzako kuelezea ubaya wa ubaguzi. Alisema wewe hata km ni mweusi km una tabia za ubaguzi ni kaburu tu. Tuache ubaguzi kwa msingi wowote ule.
 
Back
Top Bottom