HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,879
Uislam haujawahi kuichafua duania tangu kuumbwa kwa Dunia, lini Uislam ushawahi kuanzisha vita na kundi lolote lile?UISLAM NI KAMFUMO FULANI KALITENGENEZWA KUICHAFUA DUNIA,
Mnawajaribu Waislamu wenyewe mkibutuliwa mnaanza kuulalamikia Uislam.
Ukiuchokoza Uislam jiandae na hasara ya kudumu, chezea vingine sio Imani yao na hawajawahi kushindwa tangu Dunia inaumbwa na mpaka inaisha hakuna mtu atakuja kuanzisha vita na Uislam atashinda, utatumia kila aina ya vifaa ila utakimbia wewe kwani ishaandikwa Adui wa Uislam hatashinda hiyo vita kwakuwa kwenye Imani ya kiislam hakuna kurudi nyuma linapokuja swala la uchokozi wa Imani.
hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona

. we mwenyew mbaguzi tu, na nafikir ulielewa nilimaanisha nini!