Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,802
- 7,936
Usinifokee sasabadilikeni
Usinifokee sasabadilikeni
Kwhy kufungua Uzi wa kuushambulia uislam huo sio ubaguzi??we bibi acha mambo zako wew. we mwenyew mbaguzi tu, na nafikir ulielewa nilimaanisha nini!
Na wewe unaamini Kuna pisi Kali 72 huko mnakoita haera?Wewe ni miongoni mwa waliotoroka kenya kwenye vifo via haraiki vilivyo sababishwa na ibiri wa kanisani?
Dini zingine ziliingia kutokana na ukoloni wa wazungu. Wazungu walitoa uhuru wa kueneza dini na mtu aliyepingana nao aliona cha mtema Kuni. "Na kule Zanzibar ilikuwa ni makubaliano ya masharti ya waingereza kwa waarabu as a way to seek protection from England against Portugal.Waislam wangekuwa wanatenga watu, hii nchi isingekuwa na dini zingine za kiajabu ajabu.
Kumbuka kuwa dini zingine zote ziliukuta Uislam tayari upo ardhi i hii inayoitwa Tanzania leo.
Acha uongo wewe.Dah!😂😂😂😂😂Waislam wangekuwa wanatenga watu, hii nchi isingekuwa na dini zingine za kiajabu ajabu.
Kumbuka kuwa dini zingine zote ziliukuta Uislam tayari upo ardhi i hii inayoitwa Tanzania leo.
Huo ndiyo ukweli mchungu, kama wewe unauona wangu ni "uongo" , leta ukweli wako.Acha uongo wewe.Dah!😂😂😂😂😂
Ndiyo ushahidi huo?Acha vibweka aisee!😂😂😂Huo ndiyo ukweli mchungu, kama wewe unauona wangu ni "uongo" , leta ukweli wako.
Kabla hujasepa, pata ushahidi mdogo, halafu na wewe ulete wako...
Mabaki ya Kilwa Kisiwani yanafunika sehemu kubwa ya kisiwa hicho huku maeneo mengi ya jiji yakiwa bado hayajachimbuliwa. Magofu makubwa yaliyosimama, yaliyojengwa kwa chokaa ya matumbawe na chokaa, ni pamoja na Msikiti Mkuu uliojengwa katika karne ya 11 na kupanuliwa kwa kiasi kikubwa katika karne ya 13, na kuezekwa kabisa kwa majumba na vaults, baadhi yamepambwa kwa porcelaini ya Kichina iliyopachikwa; jumba la Husuni Kubwa lililojengwa kati ya c1310 na 1333 na bwawa lake kubwa la kuoga lenye pembetatu; Husuni Ndogo, misikiti mingi, Gereza (gereza) iliyojengwa kwenye magofu ya ngome ya Ureno na eneo lote la mijini lenye nyumba, viwanja vya umma, viwanja vya mazishi, n.k.
Magofu ya Songo Mnara, katika mwisho wa kaskazini wa kisiwa hicho, yana mabaki ya misikiti mitano, jumba la kifalme, na baadhi ya nyumba thelathini na tatu za nyumbani zilizojengwa kwa mawe ya matumbawe na mbao ndani ya kuta zilizozingirwa.
Visiwa vya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara vina ushuhuda wa kipekee wa kupanuka kwa utamaduni wa mwambao wa Waswahili, kuporomoka kwa Afrika Mashariki na biashara kubwa na yenye mafanikio ya Bahari ya Hindi kutoka enzi za kati hadi zama za kisasa.
Kigezo (iii): Kilwa Kisiwani na Songo Mnara vinatoa ushahidi wa kipekee wa usanifu, kiakiolojia na maandishi kwa ajili ya ukuaji wa utamaduni na biashara ya Waswahili katika mwambao wa Afrika Mashariki kuanzia karne ya 9 hadi 19, na kutoa ufahamu muhimu...
Kumbuka, huwa sikisii.
Unaonesha huelewi unachokisoma.Ndiyo ushahidi huo?Acha vibweka aisee!😂😂😂
Ninachokipendaga siku zote,hata kama baadhi ya watu watauponda na kuupinga Uisilamu, lakini jibu lake linapokuja kwa mwenye kuelewa ni elimu tosha.Mmechokozana huko kwenye mambo yenu ya kipuuzi halafu unawaita Waislamu wadini? Kwanza udini ni nini? Isije ikawa mtu anasimamia Imani yake wewe unamuita mdini kisa tu kakataa kufanya unavyotaka wewe.
Kuna muda mwingine baadhi ya wajinga wanahisi Uislam ni swala la kujiamulia tu. Mfano mtu mnaweza mkawa mmekaa mnafanya jambo, ukienda kuswali mjinga anakuona mdini kwasababu anahisi swala ni kujiamulia muda kumbe swala ina nyakati zake.
Ukiona mtu analalamikia udini uje huyo ni fuska fulani anayetaka watu waishi vile anataka yeye. Muislam amekatazwa kufanya ubaguzi, ila amekatazwa pia kujadiliana linapokuja swala la Imani, yaani hakuna kujificha kwenye kutekeleza Imani yake. Nyinyi udini mnaoita ni pale Muislam anapokuwa committed na Imani yake.
Kuna baadhi yenu hata mkikaribishwa majumbani kwa Waislamu ukifika muda wa swala wakatoka kwenda kuswali au wakijitenga sehemu waswali mnawaita wabaguzi. Mtaendelea kuwaona Waislamu ni wadini kwakuwa mnaamini dini ni mjadala wa kirafiki ufanye au usifanye.
Imeandikwa; hawatakuwa radhi na nyinyi mpaka mtakapofata mila zao.
Watu mnachuki mbaya, wapi hata wakati wa Mtume Muhammad (S.A.W) mtu alikataa kuingia kwenye Uisilamu akachinjwa?Kwa waislamu wenye msimamo mkali ndugu ukikana dini yao wanakuchinja kama kuku. Tunahitaji ukombozi kutoka kwenye hizi dini zetu.
Hiyo ni tabia ya mtu wala siyo Uisilamu, kwanza Dini ya kiisilamu inafundisha kumpenda jirani yako, bila hata kuangalia dini yake,sababu ndiyo mtu wa kwanza kukusaidia ukipatwa na matatizo,Imenigusa Sana ndiomana nahisi tuliohumu ktk hii forum tunajifunza mengi Sana kila siku MIMI naishi mahala na mwiislamu fulani anaswali sawala tano mimi ni mkristo yeye Ana watoto 3 mimi 2 ila jamaa hapendi na hataki hata kidogo watoto wake wacheze na watoto wangu hata kidogo wakicheza usiku huwa anawachapa Tena wakati Nina mtoto mmoja mwanangu alikuwa anapata shida namana anakosa wa kucheza naye ikanilazimu kutafuta mtoto wa jamaa yangu aje pale nyumbani LAKINI MUNGU ALIJIDHIHILISHA WALIPOANZA KUSOMA WA KWAKE DARASANI HAKUNA KITU KAKWANGU KAKAWA FASTA KUELEWA MTIHANI MWAKA JANA KAKAWA KAKWANZA CHEKECHEA MWAKA HUU DARASA LA LA KWANZA YE WAKWAKE MPAKA LEO BADO HAKUNA KITU NIKASEMA KUMBE YESU ANAJUA KUMUINUA MTU.....
Chuki za kidini sio kwa Islam peke yao,Wala si wote,Kuna wakristo walokole ni wabaya wanachuki kama ya Hitler kwa wayahudi,Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.
Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dinihii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona
Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.
Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.
Kwani umeshikiwa fimbo mkuu? kwanini wewe usituanzishie njia ya kufuata uafrika uanze kuvaa kipande cha ngozi kusitiri uchi tu kama wale ancestors wetu, halafu tutaendelea na mada.Wakristo na waislam
wote hamjielewi
wafia dini wote ni wa hovyo.
mmeua uafrika kisa mambo yenu ya ajabu
mnakera
Nikirudi kwako mleta mada, uislamu umetoa muongozo wa kuwapenda watu na kuwachukia wengine vilevile, ama wasiokuwa waislamu sisi hatujakatazwa kuamiliana nao muda wa kuwa hawatufanyii uadui kwenye dini yetu wala hawatupigi vita na kututoa kwenye nyumba zetu.Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.
Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dinihii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona
Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.
Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.



Chukulia mfano hapa kwetu palikuwa na brother alikuwa na wanae wawili wadogo ,jirani yake ni mkristo wale madogo wa bro wanaenda kucheza na wa kule wanakuja hata kula ila mbaya watoto wa bro walilisha nguruwe kule wakaanza kubabuka midomo ya kuharisha mpaka ikaja kugundulika.
Kuishi na wakristo ni tafarani kabisa assume harufu ya mtu anayekula nguruwe na pombe wana harufu fulani ya kinyaaa sana bado hawajisafishi wakienda haja yaani matatizo tunaishi na nyie maisha hatuna tabu.
Wakristo wanakaririshwa chuki na roho mbaya na hawa wanaishi kwa kufanya dhuluma ,utapelu uwizi, ujambazi kawaida sana ili mradi wapate kitu maana dini yao haijui mambo haramu katika kutafure riziki.
Wakristo ndo wanaongoza kwa chuki dhidi ya waislamu,Rejea habari ya uchomaji wa Qur an mara ichomwe mara wakojolee ili mradi tu kuleta chokochoko ,Mda mwingine unasikia mtu kamtukana Mtume sasa yote ya nn ?..."Nyie mna dini yenu sisi tuna dini yetu"
Hata uzi uliopita juzi uliandikwa kingereza ila content nzima ilikuwa kwa nn viongozi wa kikristo haswa marais kipind cha utawala wao paligubikwa na matukio ya kikatili haswa yakiwa ya kimlaka.Asili ya ukristo na wakristo ni roho mbaya hawana utu kabisa.
Hiyo ndiyo chuki yenyewe, sasa wewe ulitakaje? Mfano yeye hali kibudu anakula kilichochinjwa kwa jina la Mwenyezi Mungu, Anaamini Mungu mmoja,hanywi pombe, na mengineyo mtalingana na mtu kama huyu?HALAFU WAISLAM WANJIONA WAO NDO WANAMJUA MUNGU, KUJIONA WAO WANA HAKI KULIKO WENGINE,
NI UPUUZI WA HALI YA JUU
MYAAZI WANA SHIDA
Hiyo ndiyo chuki yenyewe, sasa wewe ulitakaje? Mfano yeye hali kibudu anakula kilichochinjwa kwa jina la Mwenyezi Mungu, Anaamini Mungu mmoja,hanywi pombe, na mengineyo mtalingana na mtu kama huyu?
Kwa kweli ni kazi kubwa sana kama usipojua imani ya mtu,Sisi tunamridhisha Mwenyezi Mungu siyo binadamu, mfano nikikupangasha nyumba kwangu wewe usiyekuwa Muisilamu halafu ukawa unaona ni haki kwakoUkienda kupanga nyumba ya muislam kwanza anataka kujua jina lako,ukisema inaitwa John au Janeth bas anakwambia hakuna vyumba
Wanataka waishi wao kwa wao.
Kwa ubaguzi wa kidini walio na wenzetu waislamu wanatamani hata binadamu wengine Duniani wasiwepo wabaki waislamu tu