Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,629
- 112,425
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......
wewe huna akili, you know why?.......
jf siyo mtandao wa kina maimuna ni mtandao wa members kama ni jinsia ya kike wengi ni wasomi, wanajielewa na wana fikra huru.
uzuri wa mwanamke ni mtazamo wa mwanaume kuna watu humu wanavutiwa sana na figure ya masogange lakini mimi si chaguo langu figure za hivyo.
pia kaa ukijuwa humu karibu members wote wana account zao Facebook na instagram ila wengi baada ya kuujuwa umuhimu wa jf mitandao hiyo mingine ya kusifiana ujinga au ucommenta kumfurahisha aliyeweka status yake watu wameipuuza na hapa jf wamefika.
kea mimi mtazamo wangu kuoa mwanamke ambaye si member wa jf ni zaidi ya hasara, kuna faida nyingi sana kama mkeo ni member wa hapa.