Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Usikute ulikutana na gube gube huko sura imemkaa kushoto ndo ukasema wote labda panaweza kuwa na ukweli fulani
Ukweli wengi wa mademu wa humu jf tired mbaya kwanza over aged and desperate kwa issue za malove, n many of them are hard desired
Hatimaye.....
em njoo tufanye mambo yetu mrembo! achana nae huyu anaepima kina cha maji kwa miguu yote miwili!
come and shake it to me!
kuna walimbwende achilia mbali warembo
research umefanya kwa demu wako ulimuuunga jf unazani ndo wote
nahisi utakua mfupi watu wafupi wana kiranga sana
umewrong kabisa ww.
Uzuri unaousema uzuri gani? Inaonekana ww bado ni foolish age ndio maana umewaza kitu kama hicho.
Walioko fb na instagram ni wale watoto ambao bado akili zao znawaza kununuliwa chips mayai. Lakn huku jf kuna watu waliokamaa kiakili wamepitia maisha mbalimbali ndio maana utakuta wanajenga hoja yenye maana na wamekomaa kifikra.
Hvi ukimchukua mtu kama miss chagga au christine ibrahim au Mamndenyi halafu ukachukuliwa na ww mkaambiwa mtoe mawazo yenu hapa unafikir yatakuwa sawa? Ww zaidi utawaza jinsi ya kujisajili fb au tango basi lakn wenzako watatoa mawazo ambayo yatakusaidia ww ktk maisha.
JF sio FB wala Insta.... Hapa watu tunajiheshimu na tunachangia mada za maana na kujifunza mengi sio kutongozana. Wewe mleta mada nenda katafute mal@aya hukoooo sio hapa
Etiiii...sho..ga....aiseeeee!!!!!Kama unajiamini huna haja ya kutoa matusi...ni fikra tofauti tu tumboo usijenge chuki....
Habari za kwako miss chagga ?? umenisusaembu atume maana ya urembo? alafu urembo unaweza onekana kwenye picha.... lakini sidhani kama mahaba yanaonekanaje kwenye picha? kama yanaonekana ni vipi?
I guess na wowowo analo....
kapitiwa tu huyo! wala hajakutana na mrembo hata mmoja wa JF!Umeona ee kajiskia kueka upumba wake humu ka demu wake anasura mbovu anazan wotee hehehee
kapitiwa tu huyo! wala hajakutana na mrembo hata mmoja wa JF!
ngoja siku abahatishe hata mmoja, nakwambia hata mgegedo utashindwa kusimama kwa hofu!