Uchunguzi huru: JF haina warembo

Uchunguzi huru: JF haina warembo

huyu atakuwa malaya wa kutafuta wanawake kwenye mitandao subiri utongoze mwanaume mwenzako humu JF siku nkikutana atajuta

Unanikosea mkuu...sitafuti malaya plzzzzzzz respect idea za wengine Emma pinga kwa hoja si matusi
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

Hehehehe hujawahi kuwaona face to face wewe.
 
kuna walimbwende achilia mbali warembo

research umefanya kwa demu wako ulimuuunga jf unazani ndo wote
nahisi utakua mfupi watu wafupi wana kiranga sana

Atakuwa hamjui Masai dada huyu, aulize sisi wakongwe tumpe hints.
 
Warembo wapo wengi sana mkuu humu majina tu kama dawa za mizizi lkn ukimuona MTU live ni balaaa
 
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......
swali, je mkeo ni mzuri kiasi gani au mbaya kiasi gani? je yuko JF au FB na INSTA? tupe jibu ili tuweze kufikia hitimisha la uchunguzi wako.
 
Back
Top Bottom