NYOTA YAKO LEO JUMAMOS AGOSTI 23/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MASHUKE– VIRGO (Agosti 23– September 23)
Huenda wakati mwingine mapenzi kwako yatakuwa kizungu zungu yani wakati mwingine unakosa imani na safari yako ya mapenzi lakini unayofikiria sio sahihi nyota yako inaonyesha ulie nae ni mtu sahihi kwako pia ni muaminifu fanya dua sana maana inaonyesha mipango yenu itafanikiwa ingawa wakati mwinginie ana makelele lakini kilele zake zisikunyime kula ugali kwakuwa kilele hizo haziwezi kuwa tatizo katika mahusiano yenu kwani kilele zake ni upepo tu wa nyota hivyo huna budi kuzipuzia.
•Mwenendo wa Siku leo unatamani utulivu amani na faraja Mambo ya kifamilia au ya kifedha yanaweza kujitokeza.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Usinganganie mpenzi anaekusumbua kwakuwa wewe mwenyewe unaweza simama wewe mwenyewe ufanye mambo yako bila kumtegea mpenzi wako kwaku muda mwingi amekuwa akikupa ahadi za uwongo nivyema ukawa na uwamuzi wa kushujaa juu ya mapenzi yako ili uweze kutekeleza mambo yako ya msingi.
•Zungumza na mtu wa karibu utapokea faraja au ushauri mzuri Maamuzi uliyokuwa unasita kuyafanya yanaweza kufanywa kwa hekima leo.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
jumamos hii uwe makini na mipango yako unayo ipanga usiwe mtu wa kigeu geu panga jambo ukiwa na uhakika na mipango Yako kama hukua makini unaweza kuingia katika mipango feki yenyewe majuto na lawama karibu kumshirikisha mtu wako wa karibu yani mumeo mpenzi au mama yako usipange jambo bila kuwashirikisha hawo kwakuwa ni watu muhimu kwako na waaminifu sana kwako.
•Mawasiliano ni silaha yako leo siku nzuri ya kutuma ujumbe kupiga simu kuandika barua au kujieleza wazi.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
jumamos hii tafuta mtu akusaidie kwakua nataka ndio jambo lako unalotamani ila hali yako imekuwa ngumu uhakika wa kipato chako umekuwa wa kubahatisha ingawa una wasi wasi sana uliotawala kwemye moyo wako ni vyema ukatafuta mtu akakusaidia huenda ukapata ahueni.
•Fursa mpya au habari njema zinaweza kuja kupitia mazungumzo ya kawaida au hata ujumbe wa ghafla.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
jumamos hizi zimekaa vizuri sana kwako ingawa kipato kikubwa kinaonekana mbele yako ni vyema ukatumia furasa hii kutekeleza mambo yako maana kipato kikubwa kipo mbele yako na kama hukuwa makini pesa unayo ipata inaweza isikae na itatumika katika matumizi yasiokuwa na ulazima nakama yaliotajwa hapa huyaoni jaribu kupata ushauri kwa watabiri wa nyota maana utakuwa una matatizo kwenye mwili wako maana nyota ya mbuzi ipo vizuri na sehemu kubwa ya malengo ya watu wenye nyota ya mbuzi malengo yao yatatimia.
•Mahusiano yako yataingia giza jipya vurugu au nuru itatoweka kwa muadui mpya na watu wa karibu ni wahusika wakuu ila sio ndugu pia usijiamini kwa yoyote kumpa habari zako za ndani haswa kwa watu wa karibu wanazitumia kama fursa juu yao hivyo tunza zaidi siri zako.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
jumamos hii ni nzuri kwako unaweza kufanya vizuri katika biashara zako mbali mbali na mambo yako kwa ujumla huenda ukapata habari zitakazo ushitua moyo wako lakini haitakuwa tatizo kwako.
•Pia hiyo ni dalili ya kufanikiwa mipango yako kwa kasi kubwa haja zako zitatimia kwa namna usiyoitarajia
Safari zako ni nzuri.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
jumamos hii ni nzuri kwako tafuta ufumbuzi wa jambo linalokusumbua Khofu na mashaka na wasi wasi mwingi uliotawala katika moyo wako leo hii unaweza kuisha maana unaweza kupata ufumbuzi wa jambo linalokusumbua muda mrefu utapata pesa ya gafla usio itegemea.
•Siku ya leo kwako haipo vizuri kama utaweza tulia nyumbani kwako usiwe muongeaji kwakuwa utafedheheka na utagombana na watu bila sababu za msingi.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
jumamos hii sio mbaya kwako wala sio nzuri sana utapata kipato ingawa sio kile unacho kitarajia lakini kidogo utakacho kipata kitafunya usahau shida zako ingawa sio zote.
•Huenda unamfikiria mtu asiekufikiria Huenda unampenda mtu asiekupenda Huenda unamthamini mtu asiekuthamini kwanini uwendelee kutoa machozi hebu tafuta ufumbuzi wa kuondoa migogoro iliotawala katika mahusiano yako katika mapenzi.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Tegemea kupata bahati mbaya leo na utashutumiwa jambo au mambo kwa namna usiyoitarajia unashauriwa usiwaamini watu wanaokushirikisha mipango yao michafu haswa kwanzia Leo inaweza kukutia matatizoni.
•Mapenzi kwako ni jambo la muhimu sana hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kuweza kuondowa hasama chuki na migogoro isio isha katika mapenzi yako fanya maamuzi ili uweze kuyaepuka matatizo yanayo kukumba katika mapenzi.
★MAPACHA– May 21– Juni 20)
jumamos hii ni nzuri kwako unaweza kufanya chochote unacho kifikiria katika moyo wako pia unaweza kupata msaada kwa yule unaehisi atakusaidia ni vyema ukaomba mungu sana ili uweze kufanikiwa mipango yako unayo ipanga jumamos hii.
•Maradhi madogo madogo ya hapa na pale yanaweza kukusumbua ikiwezekana jumamos hii usitumie kabisa vitu ambavyo unavifahamu vina kuathiri wewe na jihadhari kuna mtu atakuletea kitu chakula leo hii usikitumie kitakuletea shida mbele.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Jumamos hii unaweza ukawa na matumaini mapya kwa maana sehemu kubwa ya mipango unayo ipanga itatimia ni vyema ukawa na subra na kuondowa wasi wasi ulio nao juu ya jambo Fulani omba mungu kutoka na mitihani mingi na Shida nyingi zinazo kukabili hakika nyota Yako jumamos hii inaweza ikakupa njia ya kutatua yanayo kusibu ndani ya moyo wako.
•Ukikutana na watu wazima (wazee) wanne wapo pamoja au zaidi ya hao basi kipato chako kina uadui mkubwa sana jitahidi kuukataa kwa kufanya ibada zaidi na utayashinda yote.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Mapenzi au mpenzi au mume ulie nae au mke ulie nae usimuache kwakuwa yeye ni msaada kwako ingawa anavituko vya hapa na pale chukulia ni changa moto za kimaisha usikurupuke kumuacha huenda ukaja kumuhitaji tena ikawa tatizo.
•Ukikutana na watu wanazozana leo basi kuna uadui mkubwa mbele unatarajia kuharibu furaha yako kazini au nyumbani hivyo jitahidi ibada na uutunze ulimi wako usiongee ya ndani mwako.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.