Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,592
- 4,472
- Thread starter
- #261
NYOTA YAKO LEO JUMANNE SEPTEMBER 23/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MIZAN– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
jumanne hii tegemea malengo yako mengi kukamilika pia kipato chako kitaongezeka utapata wageni wapya katika kazi zako biashara mpya utaipata zidisha dua kwani huenda ndio wakati wako wa mafanikio.
•Safari zako ni nzuri kwa ujumla siku ni nzuri sana kwako.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Jumanne hii nivyema ukafanya kikao na mpenzi wako ili uweze kujuwa mambo yanayo msibu nivyema zaidi ukafanya hivyo tena kwa huruma na upendo kwani ukuendelea kuwa busy kuna uwezekano mkubwa wa kuachana.
•Kazi zako zitaenda vizuri na biashara zako zitafunguka na kukupa faraja zaidi.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
jumanne hii utapata taarifa za kushtuwa za msiba wa mtu wa karibu yako au taarifa za ajali au kufukuzwa kazi au kupotea kwa fedha nivyema ukachukuwa tahdari mapema pia kipato chako leo hii kitakuwa cha kawaida sana.
•Utapata rafiki mpya Leo na utasaidiwa mengi katika mambo yanayokunyima furaha kwa wazi na kwa siri.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
jumanne hii ni nzuri kwako kwa kuweza kufunguwa miradi mipya pia kipato chako kitakuwa kizuri leo hii ingawa unashauriwa kupata dua nzito nzito kutokana na mitihani ulio nayo.
•Isimamie ndoa yako vuzuri mpenzi wa inje asikupe kiburi maana unako elekea utaivunja ndoa yako na hatakusaidia chochote zaidi ya kukukimbia.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
jumanne hii chukuwa tahadhari unaweza kupigana na mtu usie mtegemea pia unaweza kupelekwa polic kutokana na madeni yalio kuandama nivyema ukachukuwa tahadhari mapema na uwe mpole unaweza kuepuka hatari hiyo.
•Safari zako ni nzuri ila usiwe muwazi kwa kila mtu juu ya safari zako.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
jumanne hii ni nzuri kibiashara ongeza ubinifu katika biashara yako pia kama huna kazi fuatilia ahadi za kazi huku ukipata dua nyingi kwani leo hii una uwezekano mkubwa wa kupata ajira.
•Utapoteza kitu muhimu Leo na usilazimishe jambo lolote leo utapata bahati mbaya.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Jumanne hii kwako ni nzuri kiasi kipato chako hakitakaa vile ulivyo tegemea kaa na watu unao wajuwa watakusaidia kukuuza kipato chako na watakufanya uwe mbunifu katika mambo mbali mbali ya kibiashara.
•Mahusiano usiyape kipaumbele kwa sasa hayana nguvu yoyote ya kheri kwako safari zako ni nzuri sana.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Kaa vyema na mpenzi wako huyo mpya uliempata asikufanye ukamdharau mpenzi wako wa awali elewa ulie nae ni mpenzi alie tawaliwa na tamaa hautadumu nae nivyema umuache mapema ili kuweza kuepuka aibu itakayo kukuta.
•Biashara zako na kazi zako zitazidi kustawi na kuzidi kukupa nguvu na bahati za wewe kufika mbali kwenye maisha yako.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
una malengo mengi sana ulio yapanga jumanne ilio pita na leo hii tegemea mafanikio makubwa katika mipango yako unapanga kufunguwa biashara mpya lakini huna pesa tegemea kufanikisha lengo lako kwani leo hii unaweza kupata pesa ya ghafla na ukakusaidia katika kutekeleza malengo yako.
•Utapata bahati nzuri sana Leo na faraja itakufika.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Inaonyesha una mtafaruku baina yako na mpenzi wako kwa muda mrefu hadi umekata tamaa unashauriwa kukutana na wataalamu wa nyota waweze kukusaidia kwani ugomvyi wako wa kimapenzi unatokana na Nyota zenu.
•Tegemea kupokea taarifa mbaya ya msiba au mtu kuzidiwa maradhi yake usiogope ni maumbile yetu sote hayo.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
jumanne hii unashauriwa usitumie pesa hofvyo hovyo kwani leo hii kipato chako hakitaongezeka kwahiyo fedha ulio ipata jumanne iliopita nivyema ukaitumia vuzuri ili kuepuka hasara isio ya lazima.
•Inaonekana umechoshwa na tabia mbaya na chafu za mpenzi wako ulie nae ingawa hukati tamaa kusubiri lakini endelea kusubiri kwani utabiri unaonyesha leo hii utapata mpenzi mpya na utasahau matatizo yote yanayo sababishwa na mpenzi wako wa sasa.
★MASHUKE– VIRGO (Agosti 23– September 23)
jumanne hii kwako ni nzuri kibiashara kuna wateja wako wa zamani watakukumbuka nivyema ukawa makini na shuhuli zako maana ukina uwezekano pia wa kudanganywa katika makubaliano ya kibiashara.
•Ukikutana na msiba asubuhi ya leo ni msisitizo wa uzito wa siku yako leo hivyo zidisha umakini kwa kila kitu.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA ☠️💀 MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.