NYOTA YAKO LEO JUMATANO SEPTEMBER 03/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MASHUKE– VIRGO (Agosti 23– September 23)
Unashauriwa kuwa na subra katika mapenzi yako kwa sasa pamoja na changamoto zinazo kukabili katika upamde wa mapenzi ugomvyi chuki mifarakano isio kuwa na kichwa wala miguu unashauriwa kufanya subra ingawa inakutoa machozi lakini subra yako itakufikisha sehemu nzuri na itakufanya uweze kuwa na maamuzi mazuri.
•Ukikutana na mwanamke ameshika tama au amekaa kwa huzuni basi maneno ya maudhi lazima yatakufika leo hivyo usiwe mbishanaji leo ili kuilinda heshima yako zaidi.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
jumatano hii inaonyesha muangaza mzuri kwako katika biashara zako na mambo Yako utafanikiwa kiasi. Unashauriwa usiwe na pupa katika mambo fulani kuwa makini katika jambo lako lolote huemda ukapata faida ambayo hujaitarajia.
•Ukikutana na mtu kavaa cheni au pete ina nembo ya Simba basi ujue heshima yako kazini itaongezekana na unaweza kupata safari ya kheri.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
jumatano hii nzuri kwako ingawa ulikuwa mtu wa huzuni nyingi zilizo kukatisha tamaa lakini huu si wakati wako wa kukata tamaa kwani fursa unayo ya kuweza kupanga mambo Yako haswa ukizingatia majukumu ulio nayo usikurupuke utakapotaka kufanya lolote jipange fikiria kabla ya kutekeleza jambo utafanya vizuri sana leo hii.
•Safari zako ni nzuri ila jihadhari na tamaa zako hanasa zinaweza kukutia mkosi mkubwa.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
jumatano hii pamoja na wewe kuwa mkweli mpenda watu na mpenda amani miongoni mwa watu wako wapo maadui zako watakao kunyima amani na furaha huenda ukapata kipato kizuri leo hii kama utaweza kujihadhari na watu hawo kuwa makini makini sana unaweza kupata hasara usio itegemea kutokana na uwadui ulio nao.
•Mahusiano yako yapo sawa jihadhari na kulazimisha mambo mengi katika mambo ya kulazimisha hayana mwisho mzuri.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
jumatano hii ni nzuri kwako ingawa unazo changamoto za hapa na pale lakini kuna uwezekano wa kufanikiwa katika jambo fulani ingawa mitihani mingi imekutawala kila unalolifanya huwoni muelekeo wake lakini usikate tamaa jumatano hii sio mbaya kwako jaribu kumlilia Shida yule unaehisi atakusaidia huenda ukapata Bahati nzuri yenye faida kwako.
•Ukikutana na bibi kizee leo akakuomba pesa ya kula mnunulie chakula usimpe pesa utakuwa umejitia kifungoni ikiwa utafanya anavyotaka yeye.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
jumatano hii na mwisho mwa wiki hii itakuwa nzuri kwako utapata pesa ya ghafla lakini ifanyie kazi pia usiwe na khofu usiwe na wasi wasi juu ya mipango Yako kwani misimamo yako na kutokubadili maamuzi ndio kutakufanya ufanikiwe mambo Yako fanyiwa dua ili kuondoa vifungo na kufanya mambo yawe mepesi zaidi.
•Safari zako leo ni nzuri lakini usiondoke bila kuaga wazee wako.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Kuna mambo mazuri utajifunza leo na haswa jumatano hii kuna mengi inaonekana utayafahamu kwenye maisha yako kwa ujumla ambayo yatakupa nafasi ya kukuwa na kustawi zaidi kwenye kazi zako pamoja na kuongeza ufanisi mzuri kwenye kazi zako.
•Inawezekana unajiuliza mapenzi ni nini hupati jibu Inawezekana unajiuliza ni kwanini wewe tu lakini pia hupati jibu hayo yote yanaketwa na msongo wa mawazo yanayo sababishwa na mapenzi umekuwa mtu wa kulia kila Mara kwasababu ya mapenzi sasa tumia fursa ulio nayo jumatano hii kutengeneza mambo Fulani katika mapenzi ulio Nayo huenda furaha ikarudi upya na huzuni zikaisha.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Usiamini sana mtu katika mapenzi kwani kosa lako kubwa nipale unapo muamini mwenza wako lazma mwisho wa siku utakuja kulia mpende mtu lakini usimuamini pia usipende kumueleza mwenza wako shida zako zote ukazitoa na siri zako huenda ikawa ndio fimbo ya kukuchapia baadae.
•Kazi zako zitaenda vizuri na ikiwa ni biashara itastawi zaidi.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
jumatano hii ni nzuri sana kwako ingawa umetawaliwa na huzuni nyingi na mawazo mengi kwani mambo mengi unahusi kukwama lakini tulia wakati unafanya maamuzi yako usikurupuke kwani jumatano hii ni nzuri kwako unaweza kufanya mambo fulani au kutekeleza jambo katika mipango unayo ipanga.
•Ukikutana na mapacha leo au watu wawili wamefanana sana basi tegemea kupata msaada kwa namna usiyoitarajia kwenye njia zako za maisha.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
jumatano hii unashauriwa upunguze dharau yani jambo lolote ama taarifa zozote utakazo zipata usije ukazifanyia dharu kwani waweza kujikuta upo matatizoni jaribu kukaa mbali na maadui zako ingawa utakuwa na kipato kizuri lakini utakuwa na changamoto nyingi zinazotoka kwa maadui zako wasio kupenda Fanya dua sana na usipo kuwa makini leo hii kuna mtu mmoja unaweza kugombana nae na akakuletea matatizo.
•Safari zako ni nzuri ila usijibizane vibaya na watu leo itaharibu bahati zako.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
jumatano hii utapata habari yenye kukushtuwa lakini haitakuwa na madhara kwako ingawa mikono yako imekuwa haina barala ya kushika pesa na ukizipata hazikai jaribu kutumia furasa hii kurekebisha tatizo ulilo nalo huenda mwili wako si salama lakini umekuwa mtu wa kupuuzia jaribu kukaa mbali na watu wanao kudai au kuwalipa kabisa maana wanaweza kukuletea manenp ya kashfa au kukufedhehesha Kuwa mkweli kwa watu unaweza kupata ufumbuzi wa jambo fulani linalo kusumbua.
•Mahusiano yako bado hayapo sawa sawa hili endelea kulivumilia kutokana na watu unaokuwa nao kutokuwa na msimamo sahihi na maisha yako simamia mipango yako ya maisha na usiyape kipaumbele kikubwa mahusiano yako kwakuwa yatakuangusha pakubwa zaidi.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
wewe ni mfalume katika ufalume wako leo hii utafanya mambo mazuri kipato kizuri mipango itaenda sawa ingawa unatakiwa uwe mpole na usikurupuke katika maamuzi yako binfasi utapata fedha ya gafla jaribu kuifanyia kazi pale utakapo ipata usipende kukaa peke yako jichanganye na watu huenda ukapata ushauri mwingi kutoka kwa marafiki zako.
•Wasiliana na watu wako wa karibu na unashauriwa kutumia kauli nzuri ili kujijengea njia nzuri dhidi ya kile unachokitafuta au kukihitaji.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA ☠️ 💀 MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.