Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,147
- 3,460
- Thread starter
- #181
NYOTA YAKO LEO JUMATATU AGOSTI 04/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Leo hata kama ukikubaliana na mtu yoyote jambo lolote ujue atakwambai usubiri kwanza au atakucheleweshea mahitaji yako kuwa na subira na tumia hekima utafanikiwa.
•Safari zako sio nzuri ingawa utaenda na kufika salama ila njiani maudhi mengi.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Pamoja na kwamba leo itakuwa siku nzuri kwa kila jambo lako utakalolifanya unashauriwa kuwa usianzishe mambo mapya endeleza yale ya zamani na utafanikiwa tu.
•Maswala yako ya kikazi yapo vizuri na utapata faida na wateja wapya kwenye biashara yako na kazini mwako wataongezeka marafiki wapya.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Leo kuna uwezekano wa urafiki wako kuvurugika unashauriwa kuwa makini katika kuchagua marafiki wengine watakutaka wewe ili kupata kitu na sio marafiki wa kweli.
•Pia inaonekana utapata kazi mpya au biashara mpya na nzuri sana kwa upande wako kuna kheri kubwa na itakufanya ubadilikiwe maisha yako au uone maendeleo.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Leo jaribu sana kuwa karibu na watu wa dini ili uweze kubarikiwa mambo yako Fanya ibada kwa mujibu wa imani yako na toa sadaka kwa watoto yatima maskini na wajane na utafanikiwa.
•Utapata marafiki wapya zaidi na watu wa kukuunga mkono na kukusaidia juu ya maswala yako.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
Leo usipokuwa makini unaweza kupoteza vitu vya thamani kubwa kuwa makini katika mambo yako hasa nyie ambao mnaotumia usafiri wa umma katika kufanya safari zenu za hapa na pale.
•Safari zako ni nzuri nenda utajifunza mengi mazuri na usighairi Safari yako utapitwa na mengi.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Leo jihadhari sana kujumuika na vikundi visivyofaa hasa nyakati za jioni kama una matatizo yanayokusumbua jaribu sana kuwasiliana na wataalamu ili wakusaidie kuondokana na matatizo hayo hata kupata ushauri.
•Kazi yako haitapokelewa vizuri na utalaumiwa au kupuuziwa na ikiwa unatafuta kazi kwa leo haijakaa vizuri upande wako ngoja upite muda kidogo au siku ya Leo ipite.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Leo inaonekanakana kuwa mambo yako yapo hatarini kuharibiwa na watu wengine hasa wale ambao wako katika serikali au katika dini Unatakiwa kuwa mpole kuwa muda huu ili kupisha dhahama hiyo iondoke.
•Utapoteza kitu muhimu Leo na itakufikia habari mbaya ya huzuni au utashuhudia tukio la kukuhuzunisha leo Mungu akusimamie kwa yote.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Leo jaribu kuwa muangalifu na mtu yoyote ambaye utashirikiana nae katika jambo lolote wengine watataka kukuingiza katika mambo ambayo yatakuletea balaa kubwa na hasara kuwa makini sana.
•Utapata habari nzuri Leo na kuna mtu atakupa kitu kizuri kwa namna usiyoitarajia.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Tumia muda huu kukamilisha mambo yako uliyokuwa umepanga kuyafanya Fanya safari kutana na wadau wa biashara zako na tekeleza wajibu wako kazini Mambo mazuri yanakuja.
•Mahusiano yako leo yanaweza kuingia giza na vurugu zisizoeleweka ikiwezekana kuwa mkimya zaidi na usijibizane na mtu wako wa karibu.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Leo ni siku mbaya kwako kuna uwezekano wa wewe kupata balaa katika mambo yako jaribu sana kuwa muangalifu katika kila jambo ambalo umepanaga kulifanya au la si hivyo unaweza kuharibikiwa pakubwa.
•Safari zako leo sio nzuri maudhi ni mengi bora utulie nyumbani kwako hadi siku nyingine.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Leo Jitahidi kukutana na wakubwa zako wakusaidie kukupa ushauri bila hivyo itakuwa vigumu kwako kutatua matatizo yako yanayokukabili hasa yale yanayohusiana na mapenzi na ndoa.
•Utapata bahati mbaya leo au mkosi jizuie na kulazimisha mambo kuna bahati mbaya itakutokea aidha kazini au kwenye matembezi na ikiwa kuna kikao vizuri uweke mambo sawa kwakuwa hakuna ishara nzuri juu ya kikao hicho kinaonekana kuwa cha kukuharibia kesho yako.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Ili kukamilisha mipango yako ni lazima ukutane na mtu mkubwa akiwa yupo hapa au yupo mbali akusaidie kuondokana na yanayokusibu vinginevyo hakuna mafanikio katika jambo lolote.
•Utapata matumaini makubwa na mazuri kwenye mipango yako haja zako kwa ujumla zitaenda vizuri au zitatimia bila shaka yoyote.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim,niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.