Uchaguzi Urais, USA - 2020: Anavyopigwa Donald Trump (R) katika Ballot Box, ndivyo ambavyo alikuwa anapigwa John P. Magufuli (CCM)..

Asante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri. Moja ya kitu kinatugharimu sana Tanzania ni woga wetu uliopitiliza mipaka, hasa kwa upande wa Tanzania Bara. itafika siku watu watachoka kutupigania na kutusemea!
 
Ile white house sio black house kama ya meko? Anajikuta yuko juuu ya sheria
 
Huwezi kushinda kwa kura mil 1 labda visiwa vya shelisheli ... sio Tanzania 🇹🇿 mnajaa mikutanoni kupiga kura hamuendi alafu mnalalamika mmeibiwa heri ya Lowasa kuliko huyu hata angekua anataka urais Dar asingeweza kupata kwa kura mil 1
 
Tufanye Ccm wameiba technically walikua wanaongeza kura za JPM labda alipata mil 5 wakaongeza 7 ... hawakua wanafuta waka kuchana za Lissu ... kwa kura mil 1 asingeweza kushinda hata asingeibiwa hata moja
 
Huwezi kushinda kwa kura mil 1 labda visiwa vya shelisheli ... sio Tanzania 🇹🇿 mnajaa mikutanoni kupiga kura hamuendi alafu mnalalamika mmeibiwa heri ya Lowasa kuliko huyu hata angekua anataka urais Dar asingeweza kupata kwa kura mil 1
Wacha ujinga mwamba,, kura zilizopigwa kwenye vituo vilivyozuia mawakala kuingia hazikuhesabiwa, walihesabu zilizokuwa kwenye mabegi! Mimi nilikuwa mmoja wa wasimamizi kwenye halmashauri moja!
 
Wacha ujinga mwamba,, kura zilizopigwa kwenye vituo vilivyozuia mawakala kuingia hazikuhesabiwa, walihesabu zilizokuwa kwenye mabegi! Mimi nilikuwa mmoja wa wasimamizi kwenye halmashauri moja!
Wewe kama msimamizi ulikua ni wajibu wako kuhakikisha taratibu na sheria zinafatwa ... huu ndio unafiki wa vijana MANYUMBU mnaangalia TUMBO na sio maslahi ya CHAMA ... snitch mkubwa kabisa
 
Biden; "Ni wakati wa kuacha kuwachukulia wapinzani wetu kama maadui"

"Nitawaunganisha wamarekani wote".
 
Wewe kama msimamizi ulikua ni wajibu wako kuhakikisha taratibu na sheria zinafatwa ... huu ndio unafiki wa vijana MANYUMBU mnaangalia TUMBO na sio maslahi ya CHAMA ... snitch mkubwa kabisa
Kwa ufupi tumeona wazi kabisa CCM haipendwi na wananchi, tofauti kabisa na tunavyodanganywa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…