Donald Trump: Jesus is my savior

Donald Trump: Jesus is my savior

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,041
Reaction score
8,644
Jesus is my Savior

Trump is my President
...

Mgombea urais wa USA kwa tiketi ya Republicans amezindua bidhaa mbalimbali kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu

Bidhaa kama tishert, kofia na vingine vinauzika sana toka kuzinduliwa

Bidhaa hizo zinalenga kutunisha mfuko wa kampeni kwa mgombea huyo ambaye anasemwa amekumbwa na ukata mkubwa
---

Binafsi ningependa sana uyu mzee ashinde ila wahuni kina Biden hawaaminiki kabisa

Trump amewekewa vikwazo vingi kum disqualify kugombea urais lkn kapambana hadi amepata haki yake

Jesus is my savior itawavuta wapiga kura wengi sana wa kimarekani

Wazungu wanapenda sana dini and Jesus Christ is the best name all over
ila serikali zao ni km zina discourage watu wasijihusishe sana na mambo ya dini

Nakumbuka nikiwa Ujerumani kanisa la jirani lilikuwa hadi na kikundi cha maombi ( nilijiunga kwenye kikundi cha maombi niliishi vizuri sana na wale ndugu

Jesus is my Savior

We wish you all the best Donald Trump on your campaign to First office
 
Back
Top Bottom