Trump akutwa na kesi ya kujibu katika tuhuma za kupindua matokeo ya Urais wa 2020 zinazomkabili

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Aliyekuwa Rais wa 45, Donald Trump amekutwa na kesi ya kujibu pamoja na Watu wengine 18 wakiwemo Wakili wake wa zamani, Mkuu wa Zamani wa Wafanyakazi wa Ikulu, Wakili wa zamani wa Ikulu, na Afisa wa zamani wa Idara ya Haki, wakituhumiwa kushirikiana katika njama haramu za kumweshesha Trump kushinda Kiti cha Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Mwendesha Mashtaka wa Wilaya ya Fulton, Bi. Fani Willis amesema, badala ya kufuata mchakato wa Kisheria wa Georgia kutatua changamoto za uchaguzi, Washitakiwa hao walihusika katika shughuli haramu ya utapeli ili kupindua matokeo ya Uchaguzi wa Urais katika Jimbo la Georgia, huku akiwataka kujisalimisha kwa hiari kabla ya saa 12:00 jioni, Ijumaa ya Agosti 25, 2023.

Kwa Mujibu wa Sheria za Georgia, mbali na adhabu nyingine, Watuhumiwa wa Uhalifu wa Magenge au Vikundi huweza kufungwa hadi Miaka 20 Jela.

........

Every individual charged in the indictment is charged with one count of violating Georgia's Racketeer Influenced and Corrupt Organizations (RICO) Act because they allegedly participated in "the illegal effort of allowing Donald J Trump to seize the presidential term of office", Willis says.

"The indictment alleges that rather than abide by Georgia's legal process for election challenges, the defendants engaged in a criminal, racketeering enterprise to overturn Georgia's presidential election results," she said. Fulton County District Attorney Fani Willis says she is giving defendants the opportunity to voluntarily surrender no later than 12:00 local time on Friday 25 August.

She is now taking a few questions from reporters "prior to going to sleep". It's almost midnight in Atlanta. Who else is indicted?

The list of 18 defendants in addition to Trump, to name a few, includes:

Former Trump lawyer Rudy Giuliani
Former White House chief of staff Mark Meadows
Former White House lawyer John Eastman
Former justice department official Jeffrey Clark

The indictment says the alleged co-conspirators "knowingly and willfully joined a conspiracy to unlawfully change the outcome of the election in favor of Trump". What are the charges?

The charge sheet refers to the defendants as a "criminal organization", accusing them of a number of crimes, including:

False statements and writings
Impersonating a public officer
Forgery
Filing false documents
Influencing witnesses
Computer trespass
Conspiracy to defraud the state
Theft and perjury.

The most serious charge, violating the Racketeer Influenced and Corrupt Organizations Act (Rico) Act, is punishable by a maximum of 20 years in prison. The other charges Trump face include soliciting of violation by oath of a public officer, conspiring to commit impersonating a public officer, conspiring to commit forgery, conspiring to commit false statements, and writing and conspiring to file false documents.

Source: BBC
 
Trump atawasumbua Sana. Wanaona kumfungilia vikesi uchwara ndio watamuweza. Democrats wajinga kweli.
 
Nikipi kilichokufanya unikumbuke mimi kwenye hili jambo hadi ukataka maoni yangu juu yake?

Ngoja niangalie vizuri jina lako. 'Nkaburu' maana sijapata kukutana nawe mahala popote humu JF!
Itakuwaje leo unikumbuke na kuniitia mada ambayo hukuchangia chochote kuhusu maoni yako juu yake? Unataka niseme nini?
 
Back
Top Bottom